Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

Huna tofauti na mwanamke anayejiuza baa, kila siku anakuwa na sababu ya kutafuta bwana mpya. Simba nako mhindi akizengua utahamia wapi tena?
 
Nenda mwana kwenda, mbumbumbu fc, rambirambi fc, mtegemea cha mo fc,
 
Msukule ni huyo Zeluzelu wenu aka Maalim wa Madrasa akiambiwa ukweli anakimbilia polisi [emoji2][emoji3][emoji848]
sawa, tatizo mpo kama misukule hata mambo yanayofanyika wazi hamuyaoni mpaka mpigwe bao la mgongo
 
[emoji23][emoji23] Peleka uhaji manara ukakalie tako moja...Yanga Daima mbele...[emoji23][emoji23] kigogo2014 ashukuriwe
 
Huna tofauti na mwanamke anayejiuza baa, kila siku anakuwa na sababu ya kutafuta bwana mpya. Simba nako mhindi akizengua utahamia wapi tena?
baki wewe huko Uto,sio lazima wote tuwe Uto
 
Kawadanyanye wapuuzi wenzako huko tangu lini ukawa Yanga wewe ?View attachment 1488992
wewe ndio pumbavu la mwisho kabisa, hivi ukiwa shabiki basi ndio unakuwa kipofu? kwahiyo wewe hukubali kama hao watu wanajua?Manara mwenyewe anamsifiaga Tshishimbi, Morriso na mpaka katika kikosi chake kawaweka,ndio maana mimi nimeamua kuhama maana nyie hamjui mpira mnaendekeza ushabiki tu,mtu akifanya kizuri msifie
 
Yanga haina mashabiki kama wewe,wewe utakua ni shabiki wa JKT Ojoro tu,hamna kitu hapo.
Eti Yanga haina future,team wameshabikia babu zako hadi leo umekua mkubwa unasema team haina future,wewe si Yanga,wewe ni Tangatanga,yani utatangatanga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…