Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mnatuma kwenda namba +1guadiola ama +36man city.Kupata vichekesho kama hivi tunatuma kwenda namba ipi?
Mkuu kumbe huwa unafika mpaka huku. Ukweli ni kwamba united era yake imekwisha. Kwa sasa inapita kwenye kipindi kigumu. Pamoja na gharama kubwa mnazowekeza bada hamwezi kuwa na timu nzuri kama chelsea spurs city.sasa we unaona bora vipi, ukose makombe kabisa uwe coke zero au uchukue angalau ya mapinduzi?
na kama makombe ni hela basi Man u ndio timu bora ulimwenguni kwa sasa, sababu wana hela kushinda timu zote.
Ukipaki basi wenzio wanakuja lori lililo feli breki.utaondoa tu basi lako hata kama hautaki ujue ajali ya lori kwa basiMimi sihami LAKINI niseme ukweli Mourinho anapaswa kubadili hizi mbinu zake zilizompatia mafanikio miaka 10 iliyopita..!
Sasa hivi watu hawajali cha BUS, unatandikwa na BUS lako.
Anafahamika baada ya kupigwa ban amefungua akaunti nyingine kuandika pumba mwambie tutamripoti akaunti zake ziunganishwe au apigwe IP banHuyu jamaa mwanzisha uzi hana tofauti sana na pengine ni pacha na mwenye ID ya Sergio5 sio kwa majibu ya kitoto hivi.
Acha kuishi kwa kukalili dogo
Umeichambua vyema sana Man U.., msimu huu imekuwa mbovu/butu haijawahi kutokea.., kwa kifupi Morinyo hana jipya zaidi ya kubahatisha!!