Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kwani Mancity ina washabiki Nayo hapa Tz?
Anyway Bwamdogo Mpira ni Era....
Na hiyo Man City ikiisha Era Yake Sijui utakimbilia Wapi?
Unadhani Yuko aliyeamini Kuwa Era ya AC MILAN itakwisha? Lakini huenda Ukawa huijui Ac Milan zaidi ya hii iliyopo...