Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:smile:Love connect kwenyewe kumevamiwa..watu wanatafuta mijimama ya kuwalea na mambo kibao ya ajabu..ilimradi sio shwari tena..
hahaha Mamndenyi huyo sister fatilia nyendo zake harakakabla mr Vin Diesel hajakuponyoka mikononi mwakokondoo wa Bwana wanatawanyika tena?
huyo ulie piga nae picha ni nani?Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
Umepata?
hahaha Mamndenyi huyo sister fatilia nyendo zake harakakabla mr Vin Diesel hajakuponyoka mikononi mwako
Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
Donn umri baadae kwanza jitoe mhanga mengine ndo yafute si umesikia mwenyewe kuwa amechoshwa na u sister do!? Haya anza mkakati.
Alaa unataka kuolewa.?
Nalog on!!