Nimeacha usister niolewe na mwanajamiii yoyote

Nimeacha usister niolewe na mwanajamiii yoyote

Thatha. .. Umri inakuaje?
Donn umri baadae kwanza jitoe mhanga mengine ndo yafute si umesikia mwenyewe kuwa amechoshwa na u sister do!? Haya anza mkakati.
 
Last edited by a moderator:
Donn umri baadae kwanza jitoe mhanga mengine ndo yafute si umesikia mwenyewe kuwa amechoshwa na u sister do!? Haya anza mkakati.

sasa mkakati bila umri ni kama jembe kwa mpini wa njiti ya kiberiti arif
 
Last edited by a moderator:
Lazima ndoa itakushinda mtawa nimeshuhudia ndoa nyingi za watawa walio staafu zikiyumba.
 
Hoja ni kuhusu umri na je mlango vip? Maana kutoka usister hadi kutafuta mume we hujaonja utamu kweli?
 
Huyu Juha hawezi kuwa Sister!!!!! Hata angekuwa ndiye ogopa kama ukoma mtu wa aina hii!!!! Maandiko yanasema "... Mungu hafanyiwi dhihaka..."
 
Back
Top Bottom