Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
ha ha ha haHebu nipe namba yake nimkanye tabia ya kukubesha mapochi mwanaume mzima.
Ila unajua wakiwa wajawazito na joto linaongezekaga kule chini?
Kwa wivu huo mkali juu yako,amini kashakuendea sana kwa Waganga huyu akuteke mazima.Ni kweli, wanamna hii usipokuwa nao makini, wanaweza kuharibu familia na kukaribisha uhasi.
Na hiyo ndio 'principle' ukipata majanga, atakayepambana ni mke wa ndoaFAMILY COMES FIRST
Hii ndio kanuni namba moja kwa mwanaume yeyote anayejielewa ambaye ana mchepuko/michepuko na lazima ahakikishe mchepuko anajua hilo hataki apite hivi
Yeye ni kiburudisho tu, cum dustibin
Wife wa ndoa (mama watoto) ndio kipaumbele cha kwanza
Ki vipi mkuu?Hii stori ina Episode namba 2
Ebu ielezee tupate kujifunzaUmeruka script mkuu
Huna D mbili kijana, muache Evelyn Salt ambae kaelewa mleta uzi anahitaji nini tena kwa haraka sana ๐คฃ๐คฃKwani sledi inasomeka "JOB VACANCY"?๐
Tuishi nayo hiiNa hiyo ndio 'principle' ukipata majanga, atakayepambana ni mke wa ndoa
Nisimuelewe kwa nini?Nilivyokomenti tu anajua kabisa nimetangulia mbele na baiskeli nachukua picha zake za "sendyofu"!Huna D mbili kijana, muache Evelyn Salt ambae kaelewa mleta uzi anahitaji nini tena kwa haraka sana ๐คฃ๐คฃ
Umeenda kunywa pombe na mtu mwenye ujauzito wa miezi miwili?Huyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.
Tukakubaliana tukutane kiwanja fulani; baada ya kufika tukapiga kilo mbili za kitimoto pamoja na vinywaji, bahati nzuri sisi wote ni wanywaji.
Baada ya kupiga maji sana, tukawa tunajiandaa tuondoke, ile nataka kusimama tu, bi mkubwa (wife) akanipigia simu, tukabadilishana abc na kumuambia kesho nitakutumia kiasi fulani cha salio.
Ile mchepuko kusikia naongea na bi mkubwa kuhusu mikakati, akajawa na wivu na kuanza kulalamika na kusema, ''anayependwa hapa ni mtu mmoja tu''. Nikamuuliza kwa nini unasema hivyo, hakunijibu,matokeo yake akawa ananipa pochi yake nibebe. Nikamwambia mimi ni mwanaume siwezi kubeba pochi/mkoba wako.
Alikuwa ameshikilia chupa ya maji akatupa kule, tukavutana mpaka tukafika nyumbani; ile tumelala kitandani hataki kuguswa, akaamka kwa hasira usiku huo na kusema hatonitafuta tena na anaenda kwake; ikabidi nimwambie sawa hakuna shida.
Baada ya kuondoka usiku huo, nikamtumia ujumbe na kumwambia; mimi niko huru sasa kuwa na mtu mwingine,nawe pia kuwa huru kuwa na mwanaume mwingine.
Mpaka sasa hajajibu huo ujumbe; na sitegemei kumbembeleza arudi kwenye mahusiano.
Inawezekana mkuu, kwa sababu nimekuwa mwepesi sana wa kuchangia shughuli zakeKwa wivu huo mkali juu yako,amini kashakuendea sana kwa Waganga huyu akuteke mazima.
Siku akikutana na Fundi wa kweli,unavunja Nyumba yako Mkuu.
Baada ya kula zile nyama, kuna script nahsi imerukwa fore Simu haijapigwa!!Ebu ielezee tupate kujifunza
Soma ulichokiandika utagundua Hilo.Ki vipi mkuu?
Ni mtu mzima na anakunywa sanaUmeenda kunywa pombe na mtu mwenye ujauzito wa miezi miwili?
๐๐๐๐๐๐๐Umenifurahisha sanaMkuu umechagua jambo jema
Upo mwenyewe sasa hivi ukienda bar hizo kg 2 za kitimoto unakung'uta mwenyeweโบ๏ธ
Ila inavoonekana umeumia Sana alivokunyamazia mpaka ukalileta hukuHuyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.