Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Nini kifanyike?Visilani vya mimba hivyo ni kawaida, wewe umepaniki, Hamisha na mimba pia ije kwako ili uwe huru zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kifanyike?Visilani vya mimba hivyo ni kawaida, wewe umepaniki, Hamisha na mimba pia ije kwako ili uwe huru zaidi.
Be a man! Piga simu kwa mchuchu akuje muyamalize.Nini kifanyike?
Nimetumia mbinu za kibaharia, kubana matumizi huko mbeleniHome Boy unafeli sana sasa inajulikana kabisa hao viumbe wakiwa wajawazito wanakuwa na visirani sana kuna mwingine anataka vitumbua saa 6 usiku unaamka unazunguka nyuma ya nyumba unarudi unamwambia nimekosa anakuambia sawa anakuambia anataka chumvi unampa kaa na Mabroo ujifunze hapo umekurupuka sana
Hii ni hatari buddah ukizeeka ndo utanielewa!!! Mimi hili kosa siji kulifanya kabisaWengine wanataka mbegu tu; kuna michepuko mitano kila mmoja ana eqnx junior
😂 usiseme hujasoma sema wewe ni mmbea uliekubuhu!sijasoma uzi lakini nasikitika mbona mmechelewa kuachana?
pombe hazijawaisha bado nyinyiHuyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.
Tukakubaliana tukutane kiwanja fulani; baada ya kufika tukapiga kilo mbili za kitimoto pamoja na vinywaji, bahati nzuri sisi wote ni wanywaji.
Baada ya kupiga maji sana, tukawa tunajiandaa tuondoke, ile nataka kusimama tu, bi mkubwa (wife) akanipigia simu, tukabadilishana abc na kumuambia kesho nitakutumia kiasi fulani cha salio.
Ile mchepuko kusikia naongea na bi mkubwa kuhusu mikakati, akajawa na wivu na kuanza kulalamika na kusema, ''anayependwa hapa ni mtu mmoja tu''. Nikamuuliza kwa nini unasema hivyo, hakunijibu,matokeo yake akawa ananipa pochi yake nibebe. Nikamwambia mimi ni mwanaume siwezi kubeba pochi/mkoba wako.
Alikuwa ameshikilia chupa ya maji akatupa kule, tukavutana mpaka tukafika nyumbani; ile tumelala kitandani hataki kuguswa, akaamka kwa hasira usiku huo na kusema hatonitafuta tena na anaenda kwake; ikabidi nimwambie sawa hakuna shida.
Baada ya kuondoka usiku huo, nikamtumia ujumbe na kumwambia; mimi niko huru sasa kuwa na mtu mwingine,nawe pia kuwa huru kuwa na mwanaume mwingine.
Mpaka sasa hajajibu huo ujumbe; na sitegemei kumbembeleza arudi kwenye mahusiano.
Huyu mwanamke ni mpuuzi sana, hebu nirushie namba yake inboxHuyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.
Tukakubaliana tukutane kiwanja fulani; baada ya kufika tukapiga kilo mbili za kitimoto pamoja na vinywaji, bahati nzuri sisi wote ni wanywaji.
Baada ya kupiga maji sana, tukawa tunajiandaa tuondoke, ile nataka kusimama tu, bi mkubwa (wife) akanipigia simu, tukabadilishana abc na kumuambia kesho nitakutumia kiasi fulani cha salio.
Ile mchepuko kusikia naongea na bi mkubwa kuhusu mikakati, akajawa na wivu na kuanza kulalamika na kusema, ''anayependwa hapa ni mtu mmoja tu''. Nikamuuliza kwa nini unasema hivyo, hakunijibu,matokeo yake akawa ananipa pochi yake nibebe. Nikamwambia mimi ni mwanaume siwezi kubeba pochi/mkoba wako.
Alikuwa ameshikilia chupa ya maji akatupa kule, tukavutana mpaka tukafika nyumbani; ile tumelala kitandani hataki kuguswa, akaamka kwa hasira usiku huo na kusema hatonitafuta tena na anaenda kwake; ikabidi nimwambie sawa hakuna shida.
Baada ya kuondoka usiku huo, nikamtumia ujumbe na kumwambia; mimi niko huru sasa kuwa na mtu mwingine,nawe pia kuwa huru kuwa na mwanaume mwingine.
Mpaka sasa hajajibu huo ujumbe; na sitegemei kumbembeleza arudi kwenye mahusiano.
unajua ni habari njema sana hiyo kwa wanaume na wanawake wengi sana, wenye ndoa na wasio na ndoa....Kwa sababu ana kizaigoti, atanicheki tu 😀
Hapo ni unakwepa Majukumu Mangi siku ukiamua kukua nakuachana na Uvulana utaelewa vizuri ulifeli wapiNimetumia mbinu za kibaharia, kubana matumizi huko mbeleni
Katika hii dunia unakuwa unaenda wapi?Hapo ni unakwepa Majukumu Mangi siku ukiamua kukua nakuachana na Uvulana utaelewa vizuri ulifeli wapi