Nimeachana na mpenzi wangu

Nimeachana na mpenzi wangu

Home Boy unafeli sana sasa inajulikana kabisa hao viumbe wakiwa wajawazito wanakuwa na visirani sana kuna mwingine anataka vitumbua saa 6 usiku unaamka unazunguka nyuma ya nyumba unarudi unamwambia nimekosa anakuambia sawa anakuambia anataka chumvi unampa kaa na Mabroo ujifunze hapo umekurupuka sana
 
Nimetumia mbinu za kibaharia, kubana matumizi huko mbeleni
 
Huyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.

Tukakubaliana tukutane kiwanja fulani; baada ya kufika tukapiga kilo mbili za kitimoto pamoja na vinywaji, bahati nzuri sisi wote ni wanywaji.

Baada ya kupiga maji sana, tukawa tunajiandaa tuondoke, ile nataka kusimama tu, bi mkubwa (wife) akanipigia simu, tukabadilishana abc na kumuambia kesho nitakutumia kiasi fulani cha salio.

Ile mchepuko kusikia naongea na bi mkubwa kuhusu mikakati, akajawa na wivu na kuanza kulalamika na kusema, ''anayependwa hapa ni mtu mmoja tu''. Nikamuuliza kwa nini unasema hivyo, hakunijibu,matokeo yake akawa ananipa pochi yake nibebe. Nikamwambia mimi ni mwanaume siwezi kubeba pochi/mkoba wako.

Alikuwa ameshikilia chupa ya maji akatupa kule, tukavutana mpaka tukafika nyumbani; ile tumelala kitandani hataki kuguswa, akaamka kwa hasira usiku huo na kusema hatonitafuta tena na anaenda kwake; ikabidi nimwambie sawa hakuna shida.

Baada ya kuondoka usiku huo, nikamtumia ujumbe na kumwambia; mimi niko huru sasa kuwa na mtu mwingine,nawe pia kuwa huru kuwa na mwanaume mwingine.

Mpaka sasa hajajibu huo ujumbe; na sitegemei kumbembeleza arudi kwenye mahusiano.​
pombe hazijawaisha bado nyinyi
 
Huyu mwanamke ni mpuuzi sana, hebu nirushie namba yake inbox
 
Kwa sababu ana kizaigoti, atanicheki tu 😀
unajua ni habari njema sana hiyo kwa wanaume na wanawake wengi sana, wenye ndoa na wasio na ndoa....

kutafutana ni given,
Lazima mtatafutana tu kwasabu wewe unahitaji hicho kiunganisho alichonasa nawe vile vile unakihitaji mno hicho kiumbe....

by the way,
kila moja wenu akiketi chini na kutafakari kitu kilichowafarakanisha mtangundua ni useless kabisa...

na matokeo yake,
kwa hamu kubwa kila moja wenu atajikuta anatamani kuwasiliana na kukutana tena muinjoy pamoja 🐒

yaani kutokuwasiliana kwenu kwa muda ni kama vile kichocheo au apateizer,

nakuhakikishia hii wiki haipiti ama wew au yeye moja wenu atamtafuta mwenzie, uvumilivu utagoma kuendelea 🐒
 
Back
Top Bottom