David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Hahaha yaani hizo ni zaidi ya odds 1600 ...SH 300 KWA LAKI 5.....MMMMH
[emoji23] [emoji23] [emoji23]SH 300 KWA LAKI 5.....MMMMH
kama sitaki kuamini yaani hizi mia mia 3 zikupe laki 5??Hahaha yaani hizo ni zaidi ya odds 1600 ...
meridian bet kiwango cha chini kubet unaanzia sh 100.ngoja ni attach mikeka uioneSH 300 KWA LAKI 5.....MMMMH
meridian bet kiwango cha chini kubet unaanzia sh 100.ngoja ni attach mikeka uione
Naomba ujuzi timu za leoNimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5 hii ni mara 8 mfululizo na shinda tu tangu nijiunge.Football ni ngumu mno
Duh!kuna jamaa angu alishindaga 1000000 kwa 100 meridian bet[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]