David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
- Thread starter
- #21
jiunge na meridian bet utakuta kila option ya bet unayoitaka kama basketball,tennis,keno bsm nkUnajiungaje kwenye basket
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiunge na meridian bet utakuta kila option ya bet unayoitaka kama basketball,tennis,keno bsm nkUnajiungaje kwenye basket
kuna uzi unaelezea vizuri jinsi ya kubet basketball..nimeshaku tagNipe uzoefu mkuu, mimi n muhanga wa ivi vitu
weka link chief nasi tuupitiekuna uzi unaelezea vizuri jinsi ya kubet basketball..nimeshaku tag
tayari nimekutag kwenye huo uziweka link chief nasi tuupitie
kampuni nzuri ni meridian unaweza kubet ata sh 100 na kuna option nyingi tu...maelezo zaidi tayari nimekutag kwenye uzi unaozungumzia basketball bettingsasa sema na sisi tujue unabet kampuni ipi maana kila kampuni na ubora wake ila nasisi tujue na tupe tips jinsi unavyo piga pesa. babu vipi
kama ningejua tangu mwanzo ningeifuta mbali football coz nilikuwa nabet mwaka na nusu nilishinda mara 2 tu...lakini basketball nimeanza juzi tu nimeshinda mara 8 tena pesa nzuriActually mubetia football ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge, ni kupoteza muda na fedha, basi tu walio wengi hawaufahamu ukweli huu.
jiunge na meridian bet utakuta kila option ya bet unayoitaka kama basketball,tennis,keno bsm nk
Naomba ulete ufundi jinsi ya kubet BasketballNimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5 hii ni mara 8 mfululizo na shinda tu tangu nijiunge.Football ni ngumu mno
Atakuwa alicheza inplaySH 300 KWA LAKI 5.....MMMMH
Vyuma vimekaza,Stake shilingi 100?kampuni nzuri ni meridian unaweza kubet ata sh 100 na kuna option nyingi tu...maelezo zaidi tayari nimekutag kwenye uzi unaozungumzia basketball betting
Kaka naomba nitag nami ,nimepigika sana kwenye footballkuna uzi unaelezea vizuri jinsi ya kubet basketball..nimeshaku tag
Kaka naomba nitag nami ,nimepigika sana kwenye football
Nami ni tagkuna uzi unaelezea vizuri jinsi ya kubet basketball..nimeshaku tag