montegobay
Senior Member
- May 4, 2016
- 114
- 132
Post no 40 kuna jamaa kaweka link, itafute bossNitag na mm mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post no 40 kuna jamaa kaweka link, itafute bossNitag na mm mkuu
Weka link mkuu nami niifatetayari nimekutag kwenye huo uzi
Mkuu naomba unielekeze tuungane maana huku football dairly namchangia mhindi tuNimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5 hii ni mara 8 mfululizo na shinda tu tangu nijiunge.Football ni ngumu mno
Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5 hii ni mara 8 mfululizo na shinda tu tangu nijiunge.Football ni ngumu mno
Naomba nitag namimi mkuu
666 chata
nitagi na mim kwa huo uzi plzzztayari nimekutag kwenye huo uzi
NDIO UTUELEKEZE SASAusibishe mm 500 ilinipa 750000 daa sikuamini asee ni football ilikua
Mbona mim nmeachwa jamanikampuni nzuri ni meridian unaweza kubet ata sh 100 na kuna option nyingi tu...maelezo zaidi tayari nimekutag kwenye uzi unaozungumzia basketball betting
UnajiungajeNgoja nijaribu
Yazimbabwee666 chata
AKA MWENYEKITI
BARMIELE FIRMINO
FUND WA KUBET
NITAFUTE MKUU
Mpaka Leo hujajibiwa maana nami nilikuwa nasubiri jibu.Unajiungaje
basker kiukweli inalipa zaidi hata mimi huwa inanitoa, nachezza na mchezaLet me try basket maana football majanga
Kama kuna mtu anataka kujoin ilo kundi basi ata ni PM kwa muda wake.Mpaka Leo hujajibiwa maana nami nilikuwa nasubiri jibu.