Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball bet napiga pesa tu

Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball bet napiga pesa tu

Football matokeo ya draw huwa yanalilostisha sana. Natafuta mchezo wenye option mbili tu yaan win or lose
Mkuu basket huwa sio kazi kuotea, ina chaguzi mbili tu
Mfano mimi kila nikilala huwa natupia mikea kumi ya buku buku, kila mkeka timu mbili au tatu.
Hakuna siku basket ball imeniangusha. Kikubwa usiwe na tamaa ya kupata pesa nyingi kwa hela ndogo
 
Mkuu jana nilitumia buku nitapata milioni 2 na ushee lakini kwa muda wa mwezi hivi. Yaani wamenila si chini ya buku 8
 
juzi jumapili...niliweka 28+ kwa timu tatu...burnley vs livrepool....stoke vs newcastle na mechi ya licester...nikatia stake ya 10000....hata game sikuangalia...caz j3 nikawa mishe mishe na new year...usiku nakuja kuangalia mkeka kumbe nimelamba...97000..nikauanza mwaka vyema...meridian
 
hebu dondosha link hapaa kijana......kizuri kula na nduguyok bhanaa
 
kama ningejua tangu mwanzo ningeifuta mbali football coz nilikuwa nabet mwaka na nusu nilishinda mara 2 tu...lakini basketball nimeanza juzi tu nimeshinda mara 8 tena pesa nzuri

sasa kushinda mara 2 ni udhaifu wako ktk kubet,mfano man city na barcelona hawajafungwa mechi zao toka ligi ianze wewe unabetia timu gani??ku bet ni biashara ninyi mnaleta mapenzi,rule number one ya kubet...usibet timu unayoshabikia,rule number 2 jifunze kujua mwamba wa wakati huo ktk ligi husika mfano sasa hivi ukibet mfululizo game zote 17 sijui zilizobaki za City atashinda unadhani utapoteza game nyingi kuliko utakazoshinda??
 
Mkuu basket huwa sio kazi kuotea, ina chaguzi mbili tu
Mfano mimi kila nikilala huwa natupia mikea kumi ya buku buku, kila mkeka timu mbili au tatu.
Hakuna siku basket ball imeniangusha. Kikubwa usiwe na tamaa ya kupata pesa nyingi kwa hela ndogo

wewe una akili ya kubet,hizo odds ndio zinayumbisha watu!tena ukiwa na akili nenda kinyume na odds,wakiweka nyingi wewe chagua odds ndogo maana hao ni wataalam wametumia utaalam kuweka odds ili wakuvute dawa nenda kinyume nao...chagua odds ndogo,cheza mara nyingi pesa ndogondogo
 
Kweli kabisa mkuu. Unajua kinachowaangusha wengi ni ile tamaa tu, mfano mtu anaweka jero anataka apate laki sita. Mwisho wa siku unakuta anakula siku moja halafu anatafunwa miezi thelathini
 
Hata Ice Hockey inalipa sana tu. Kama umeshindwa kupata kwenye soccer jaribu Ice Hockey au Basketball. Pia unaweza ukachanganya kati hizi mbili na bado ukapata matokeo mazuri. Meridian Bets wana odds nzuri zaidi na kiwango cha pesa cha kubet kipo chini sana.
 
Back
Top Bottom