Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

Sawa mkuu najitahidi komove maisha lazima yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwaka sasa mkuu,,, mrejesho tafadhali??

Ndo ilifana au ndio kila mtu aliangalia uelekeo wake
 
Ni mwaka sasa mkuu,,, mrejesho tafadhali??

Ndo ilifana au ndio kila mtu aliangalia uelekeo wake
Ooh! Tuliachana mkuu japo kwa maumivu makali mno.. Kwa sasa nimeshapona naendelea na maisha mengine
 
Kuolewa kimya kimya ndo kitu gani hiko? Kwa tamaduni zetu lazima pande zote 2 zijuane otherwise anataka akuchakate tu akikuchoka akutimue
Binti huyu muungwana sana. Kwa hiyo jamaa hajawahi kumchakata?
 
Sioni tatizo kwa hilo.Kama mnapendana mkiamua sogea tuishi au tutambulishane yote ni sawa.
 
Pole sana...

Ukikubali kuolewa kwa kificho, utaachika kwa kificho pia...
Tulishaachana baada ya kupata maumivu yasiolezeka! Huyo mwanaume alikuja kuwapa mimba wasichana wawili mmoja akamlazimisha atoe mimba...hapo ndo nilipogundua kuwa sipendwi hata kidogo
 
hili suala sio lakuangalia upande mmoja.kwakuwa ni mwanamke kaleta malalamiko hapa haifanyi tuone yeye yupo sawa...

mwanaume kuna kitu kakiona kwako..

kusikiliza upande mmoja tu. Ushauri unaweza usiwe na tija...

hapa kuna upikwaji wa data...

kwa utafiti wako sababu za msingi zinazomfanya afanye maamuzi nayo ni zip?

Tafakari
 
Unakili umeachwa si uachike tu kwa nn usikubali

Amekuacha mama achika tu
 
Anataka kukujua kwa ukaribu. Hivyo vingine visingizio tu.
 
Sogea tuishi na wewe unataka ndoa yani uwe na cheti au basi uwafurahishe marafiki kwamba ulifunga ndoa kanisani? Je huyo mwenzako yuko tayari kufuata taratibu zote zinazohitakija katika pande zote mbili ili muishi wote, na je vip suala la gharama za ndoa umeliwazia pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…