Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Jamaa inaonekana hataki commitment, kwanini? Ndo swala la kujiuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa inaonekana hataki commitment, kwanini? Ndo swala la kujiuliza
Mbona anampa papuchi bure hata hajachumbiwa jamaa anakula mzigo anavyotakaAmpelekee jamaa huduma ya bure? Yaani kabisa unaona kuna muoaji hapo?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hampendani. Mngekuwa inlove kweli kweli, msingetofautiana kwa lolote.Labda kweli ametafuta kisingizio cha kuniacha. Ila alikuwa anasisitiza sana niolewe kimyakimya ila hili halikuniingia akilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi najiuliza sanaJamaa inaonekana hataki commitment, kwanini? Ndo swala la kujiuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani upendo haupo tenaAisee, sijui lengo kuu la jamaa ni lipi. Ila hakupendi, na inawezekana hata wewe humpendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutaka kuendeshwa na hisia zaidi akili. Ningepatwa na matatizo nitarudi vipi kwa wazazi wangu??Hampendani. Mngekuwa inlove kweli kweli, msingetofautiana kwa lolote.
Upendo una nguvu kuliko mauti.
Narudia, mgependana kwa dhati; hizo baraka za wazazi ungezikumbuka baadae sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Songa mbele, huyo sio muoaji, angekuumiza miez michache ijayoWakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!
Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)
Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.
Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.
Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mrefu vipi? kwani wengine wanaoa vipi iwe muda mrefu kwake? Na haraka yake nini sasa kukaa na wewe kama hawezi kusubiri utaratibu wa kuoa? Wewe mwanamke acha ujinga, utaliwa uachwe unalia.Nia alikuwa nayo ila alikuwa anadai kufuata taratibu itachukua muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa umri wako huo mdogo wangu, sikushauri usikilize saana ushauri wa wachangiaji.
Hata sielewi na mazoea nayo yananiponzaKinachokufanya ukampenda ninini mama?
Sawa mkuu nimefikiria sana ndiyo maana nikabaki na msimamo wanguMuda mrefu vipi? kwani wengine wanaoa vipi iwe muda mrefu kwake? Na haraka yake nini sasa kukaa na wewe kama hawezi kusubiri utaratibu wa kuoa? Wewe mwanamke acha ujinga, utaliwa uachwe unalia.
Siolewi tu kwa sababu ya umri wangu kufikiaKwa umri wako huo mdogo wangu, sikushauri usikilize saana ushauri wa wachangiaji.
Kujitambulisha Sio gharama Ila baada ya kujitambulisha wataanza kuhitaji ulipe mahali. Na baada ya kujitambulisha unafikiri nini kitafuata hapoKwenda kujitambulisha kwa familia ya binti kuna gharama gan kwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahari ni utaratibu wa kawaida atatoa kile alichokua nacho kwa wakati huo.Kujitambulisha Sio gharama Ila baada ya kujitambulisha wataanza kuhitaji ulipe mahali. Na baada ya kujitambulisha unafikiri nini kitafuata hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuhimiza sana afanye hivi ila hakuwa tayariMahari ni utaratibu wa kawaida atatoa kile alichokua nacho kwa wakati huo.
Ndio shtuke sasa. Anapunguza wigo wa kuolewa. Wanaume wenye malengo hawapendi wanawake waliokuwa viburudisho vya wanaume wengine.Mbona anampa papuchi bure hata hajachumbiwa jamaa anakula mzigo anavyotaka
Matatizo kwenye true love hayana shida.Sikutaka kuendeshwa na hisia zaidi akili. Ningepatwa na matatizo nitarudi vipi kwa wazazi wangu??
Sent using Jamii Forums mobile app