Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

Labda kweli ametafuta kisingizio cha kuniacha. Ila alikuwa anasisitiza sana niolewe kimyakimya ila hili halikuniingia akilini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hampendani. Mngekuwa inlove kweli kweli, msingetofautiana kwa lolote.
Upendo una nguvu kuliko mauti.

Narudia, mgependana kwa dhati; hizo baraka za wazazi ungezikumbuka baadae sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hampendani. Mngekuwa inlove kweli kweli, msingetofautiana kwa lolote.
Upendo una nguvu kuliko mauti.

Narudia, mgependana kwa dhati; hizo baraka za wazazi ungezikumbuka baadae sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutaka kuendeshwa na hisia zaidi akili. Ningepatwa na matatizo nitarudi vipi kwa wazazi wangu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!

Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)

Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.

Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.

Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Songa mbele, huyo sio muoaji, angekuumiza miez michache ijayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona anampa papuchi bure hata hajachumbiwa jamaa anakula mzigo anavyotaka
Ndio shtuke sasa. Anapunguza wigo wa kuolewa. Wanaume wenye malengo hawapendi wanawake waliokuwa viburudisho vya wanaume wengine.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mbona iko wazi kabisa kwamba HAKUFAI,yaani hata mwisho wenu unaonekana wazi kabisa.ili upate funzo la maisha wewe mng'ang'anie(huku ukijitia ujinga wa mapenzi).[emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom