Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Pole mkuu najua ww ni mwanamke unapitia maumivu makali sana kihisia chonde chonde usijidhuru ...yule manzi angu alikunywag sum kisa nilimbwaga ila bahat nzur haikumduru sana mkuu once again usijifhuru kama kuna mwamba mwingin alikuaga anakutokea huu ndo mda wa kumkubali akuliwaze ukiwa sawa apite ivi ...mdada usijifhuru sababu ya mapenzi ila ukipona utakua gegedu balaa
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri
HATA KAMA UTAJIUA BADO UTAKUBALIANA TU NA HIYO HALI.

NJIA PEKEE ITAKAYOTHIBITISHA WEWE KUTOKUKUBALIANA NA HIYO HALI NI KURUDISHA HALI YA ZAMANI NA UKAWA UNAISHI NAYE.

KINYUME NA HAPO NI KWAMBA UKUBALI MATOKEO NA USONGE MBELE
 
1.Kwanini kakuacha,hili ni swali hutakiwi kukosa jibu lake.

2.Kama kakuonea, Lia sana Mshukuru Mungu pia amini hili nalo litapita kama yalivyopita mengine naamini hili si jaribu la kwanza.

3.Kama Kuna Namna unahusika Kimakosa,umechangia Kuachika... Muombe msamaha mpenzi wako, Mapenzi ni sacrifice na 1 ya sacrufice ni kujishusha kuomba msamaha.

Yawezekana huwezi omba msamaha,basi muonyeshe vitendo, Mkere Mkere atakusamehe tu, akikwambia usintafute we mtafute,yani usikubali kuachika kama ushajua umezingua na huwezi omba msamaha.

4.Kamloge

5.natafuta mpenzi njoo kwangu
 
Ukiachwa na unaempenda usiachike unaachikaje kwa mfano? Akisema usintafute mtafute,akisema usiniongeleshe muongeleshe.

ILa fanya hayo kama unahisi ana vi upendo ndani yako hata kwa mbali yawezekana umepooza sana jaribu kum activate.

Kero wakati mwingine wanaume tunazitafsiri kama upendo so mkereee
 
Cute huwa ni watu wa drama sana jamaa kachoka tamthiliya
Siku zote mwanamke anaeanza jiita nick name anaanzia na CUTE ujue ni tatizo hilo.. anaamini katika sura,umbo,sauti na physical appearance yake wanasahau mwanaume huviangalia hivyo akiwa hajakuchomeka mbooo yake.

Akishakuvua nguo tu wanaume wanarudi kwenye DEFAULT SETTING anaanza tafuta sababu ilomfanya akuvue nguo nnje ya uzuri wako muonekano wako.

Akikosa tu ujue mtu kaachwa au anatafutiwa Mwenzake.

Kina Cute nani ichukueni hiyo
 
Back
Top Bottom