Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Pengine hapo ndio mahali nilikosea mkuu..
 
Achana naye kuna mtu anamdanganya saivi....sio muda akili itamkaa sawa na akirudi piga chini usimkubali.
"""sio muda akili itamkaa sawa na akirudi piga chini usimkubali."""

We kuweza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nina same story Kama wewe......yanii sometimes Bora uishi mwenyewe TU wanawake hawaeleweki....unajikutw unakumbuka maisha yako ya uBachelor more than ukiwa na demu Ni stress sanaa
U bachelor jau sana ..
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…