Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Nina same story Kama wewe......yanii sometimes Bora uishi mwenyewe TU wanawake hawaeleweki....unajikutw unakumbuka maisha yako ya uBachelor more than ukiwa na demu Ni stress sanaa
Pole sana mkuu. Kumbe siko peke yangu..
 
Asante mkuu.

Mimi siringi, labda wengine.
Ndio mnaringaga mnaaita wanawake majinA mabovu , hamuwaheshimu ,wala kuwajali eti mashangazi na mtakuwa single hivi hivi wanaume mnatakiwa muwe na staha na mipaka, na muwe makini, kwa kila jamboo sio muwe waongeaji ,tulieni hamzai mnazalisha so kuweni nastara kubwa akili kuliko wanawake zenu . Ila humu wengi mnalaana fulani,mnadharau sana. Mkiachwa ndio mnajirudi
 
Thats karma,,kama kuna wakati uliwahi kuumiza mioyo ya wanawake wasiokuwa na hatia. Mungu anakupitisha kwenye tanuli lile lile ili ujue ni namna gani watu wanaumia sababu ya mapenzi.

Pole sana ili usiwe mtumwa wa mapenzi kubali kuachika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona ni jambo jema.
Rudi kwenye soko angaza mali mpya.

Bora mmemaliza hili mapema nisingeelewa mtu, mtuchangishe michango baada ya mwaka na robo, ndoa chali muanze visa, heshimuni sana michango yetu hata kama mnatupa kuku na bia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…