Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Ofisaa mtu lazima umwambie ukweli bila kumficha ficha... Yeye mwenyewe anakwambia wanawake wanamtesa, alafu tena umshahuri arudi kwao hao hao wanaomtesa?

Hapo kwa akili nzuri lazima umpatie ushahuri murua kabisa ambao mbadala wa wanawake... Hapo ni Sabuni tu huo ndio mbadala wa wanawake, upewe stress, uombwi tuma na ya kutolea, Sabuni haoni wivu kwa sabuni mwenzake, leo unaweza kutumia Dettol, Kesho B29, kesho kutwa Gwanji, mtondogoo Sabuni ya maji, au sabuni ya Unga na bado wakapendana na wakakaa kabati moja
[emoji23][emoji23]
 
Mii hapa sina neno maana kwa jinsi ulivyo kamia hii ishu ya puchu duuuh
🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂
Na wewe inaelekea ni mzoefu sana mbona unajua sabuni zote hizo 😂😂😂 vijana hovyo sana humu ndani
 
Maisha ni lazima yaendelee.

Nakiri kwamba nilikuwa malaya sana zamani lakini nikaamua kubadilika baada ya kugundua kwamba mahusiano mengi kwa wakati mmoja yanapoteza muda, rasilimali fedha, yanadhoofisha mwili, akili n.k.

Nimekuwa kwenye mahusiano serious kwa takribani mwaka na nusu na Mwl mmoja wa Shule ya msingi. Mpole, msikivu, mcha Mungu, mnyenyekevu, sio mbinafsi, mshauri mzuri na zaidi ya yote amekuwa mfano bora wa mama wa familia. Nikaamua kumpenda kwa dhati. Nikawaambia hadi ma-x wangu. Nikawa najiachia nae, nikamtambulisha kwa baadhi ya wana.

Nikakaa kitako na Baba nipeleke barua ya posa, binti akaridhia. Barua ikaandikwa, mwanangu mmoja ambaye ameshaoa akakubali kuwa mshenga. Barua ilikuwa ipelekwe tangu j5 ya wiki iliyopita ila nikapata dharura tukaahirisha. Ilikuwa baada ya kupeleka posa ndio nikamtambulishe home.

J'mosi ya juzi akaanza kubadilika kuanzia kwenye mawasiliano na kila kitu. Jana nampigia simu aniambie barua tupeleke lini, akashtuka kama hajui kinachoendelea! Akajibu nisubiri kwanza, mara anaomba tupeane muda kuna mambo ajiridhishe!

Nikajiongeza, nikamwambia muda siwezi kumpa kwasababu tulishalizungumza hili. Aseme tu kama anadhani hatuwezi kuwa pamoja tena nitamuelewa. Akasisitiza nimpe muda! Nikamjaribu kwa kumwambia tuachane ili tusipotezeane muda (kumbuka hapa nilikuwa namjaribu); ili nione anawaza nini.

Lahaulaa, akasema 'SAWA'. Nikaishiwa nguvu. Nilikuwa barabarani nikasimama kwanza kwasababu nilipatwa na wenge nikahisi naweza kusababisha ajali.

Ina maana ile kupenana muda ilikuwa ni gia tu, alishaamua tuachane. Sikumtafuta tena tangu jana na yeye kakaa kimya mpaka muda huu!

Huyu ni msichana aliyeniaminisha kwamba hawezi kuniacha. Kwamba hata nikijaribu kumuacha atafanya jambo baya (ni kama alikuwa anatishia kujiua).

LAWAMA ZANGU ZOTE NAZIELEKEZA KWA RAFIKI YAKE MWENYE JINA LINALOANZA NA HERUFI 'J', ANAYEISHI MKOA UNAOANZA NA HERUFI 'M'. Mpenzi wangu alikuwa anamsikiliza sana, na mara nyingi wamekuwa wakiniongelea, nina kila sababu ya kuamini kwamba ushauri wake umechangia kumfanya mwanamke wangu afikie uamuzi huu. Huyu dada yeye kaolewa, leo kaamua kumfanyia figisu rafiki yake! We dada wewee....

Biblia imesema tushukuru kwa kila jambo. Pengine kuna jambo Mungu ameniepusha nalo. Naumia ila najikaza.
Pole sana aisee,nimeumia[emoji2958]
 
Mii hapa sina neno maana kwa jinsi ulivyo kamia hii ishu ya puchu duuuh
🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂
Na wewe inaelekea ni mzoefu sana mbona unajua sabuni zote hizo 😂😂😂 vijana hovyo sana humu ndani
Watu tuweka order kabisa ya Sabuni, kwa nini hujipe stress kama mwanetu hapo juu analalamika kupewa Kibuti wakati kuna Sabuni.

Hata wewe nikushauri husikubali uteswe na wanawake wakati Sabuni ya Gwanji hipo
 
🤓🤓🤓🤓🤓🤓✍️✍️✍️✍️ Ctrl+C
Copy that.. ila mii nimeachana na hayo mambo mdaa sana
 
Hata mimi nimewaza kwamba huenda kuna jambo baya lilikuwa mbele yangu. Nashukuru mkuu.
Tatizo ulisema kuna Dada alikuelewa na hutaki kumtongoza na alimkataa jamaa yako mwenye maneno mengi mengi[emoji23][emoji23][emoji23]labda alisoma kauzi kako na ID yako humu ana imanya[emoji23]pole brother inauma ila inabidi calendar isogee na maisha yaendelee.
 
Hahaa akili za kukopa ndio zikoje hizo
1. Shogaangu yule mkaka Kevi kantongoza nimkubalie au nisimkubalie, sema ana hela huyo.

2.Mudi anataka nimzalie halafu ataninunulia Kiwanja bunju shostito we unaonaje nimzalie au?

3. Amicus si anaenda kuntolea posa upo nyonyo, sa na yule Alex itakuwaje jamani au yupi nimkatae shoga?

Ukiona katika maisha yako unapitia scenario za namna hio jua wewe akili zako ni za kukopa. Maamuzi hayatoki ndani kwako hadi umshirikishe na mtu wa tatu.
 
ondoa sifa ya usikivu kwake coz msikivu hawez kuyumbishwa na external factors.
 
Kwenye mapenzi mara nyingi watu wanadandia mahusiano ya watu bila wenyewe kujua......unakuta mtu ana mtu wake wanapendana sema kwa muda huo walikuwa wametofautiana akaamua kuwa na wewe kama njia ya kupunguza upweke na mawazo.....mwisho wa siku akipatana mtu wake wewe unapigwa kibuti mfano wa shuti la Kibu alilomfunga mdaka mishale........

Ogopa sana yule mtu mnaanza tu mahusiano lakini anakuja na mahaba utasema maji yaliyotegeshwa yakamwagika........
Dah hio mbaya sana kufanywa rebound. Kule mambo yakitengemaa unaachwa kama utani vile.
 
Back
Top Bottom