Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

I am not kidiing, siku ukianza vikao vya harusi ujue una kianzio cha mpwao Elli cha 50,000. Lazima tuwatie moyo wadogo zetu muoe, kuna raha una safiri au unaenda kazini unajua nina watu wananitegemea, kuna raha na baraka zake.
Kaka barikiwa sana.

Nakuja PM mkuu..
 
Puchu yani Sabuni ndio mwarubaini hapo... La sivyo atateseka na wanawake, vitabu vyenyewe vya Duni vinatupa mifano hai kina Samson na wengineo... Hata dhambi ililetwa na Mwanamke
Puchu ni dhambi na ni marufuku.
Unajua adhabu anayoipata mtu anayepiga puchu 🤓🤓🤓🤓🤓✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
 
Huyo kurudi atajirudi tu ila kashavunja trust. Kama uko tayari kuishi na mtu ambaye huwezi kum trust then msubirie kidogo haitapita miezi miwili lazma atajirudisha tu baada ya kutoswa huko alikokimbilia. Still uko reserved.
Kasharudi mkuu. Kanipigia jana usiku anajichekeleshaa..

Akataka aje kwangu nikamwambia sipo home..

Asubuhi hii tena kapiga ila sijapokea coz nipo Mahakamani.
 
Puchu ni dhambi na ni marufuku.
Unajua adhabu anayoipata mtu anayepiga puchu 🤓🤓🤓🤓🤓✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Dhambi gani? Nipe reference...

Je kati ya kununua malaya na kupiga Puchu hipi hapo ni dhambi? Kwanza kwa malaya unaweza kubeba magonjwa UTI, fungus, na magonjwa mengine makali.

Ukipiga Puchu kwa sababu kwanza unasafisha mashine vizuri, kwa sababu sabuni ni kitakatishaji... Hakuna magonjwa ya kiboya, pia unajipimia size ya shimo 😂 upewe nini kingine wewe Mack Muga
 
🫡🫡🫡 make sure wewe ndiyo unapendwa kwenye mahusiano yatakayo fuata.Wewe ndiye provider,wewe ndiye unaye amua kuoa tena sio kinyonge. A woman should be begging you to marry her,hii Mungu amekuepushia zahama maana wewe ndiye ulikua the weak person kwenye mahusiano.

Mwalimu inaonekana kuna mwamba ambaye yeye anampenda sana na amememtingisha kwamba kuna stranger (wewe) anataka kwenda kutoa mahari. Mtu katingishika kweli mpaka imebidi uambiwe vuta handbrake wakati anayependwa akisubiriwa kutimiza ahadi yake . Hii inaitwa multi-dating,ungepewa ruhusa ya kwenda kutoa posa kama plan A yake ingefeli.

Hypergamy is a ruthless bitch!

Na sasahivi demu anakazwa kweli kweli huko. Mwamba akirudi anakuta imetanuka na ufundi umeongezeka.
 
Dhambi gani? Nipe reference...

Je kati ya kununua malaya na kupiga Puchu hipi hapo ni dhambi? Kwanza kwa malaya unaweza kubeba magonjwa UTI, fungus, na magonjwa mengine makali.

Ukipiga Puchu kwa sababu kwanza unasafisha mashine vizuri, kwa sababu sabuni ni kitakatishaji... Hakuna magonjwa ya kiboya, pia unajipimia size ya shimo 😂 upewe nini kingine wewe Mack Muga
Unahalalisha dhambi kwa dhambi .😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Reference ni vitabu vyote vya dini mkuu 🤓🤓🤓🤓
Puchu sio poa ni balaaaa oooh
 
Madam To yeye [emoji3][emoji3][emoji3]!Waalimu ni moja ya kada zenye watu wasio na shida sana in some percent.Namna wanavyoandaliwa ina wasaidia kuwa watu wa tofauti sana na kada nyingine lakini zaidi kwa Waalimu wa miaka kidogo ya nyuma,siku hizi kidogo mambo si mambo unaona huyu brother amepatikana hapa.
Nakushauri tulia as long hakuwa mke bado.Muombe Mungu atakutia nguvu na kitapita hiki kipindi.
Usijihukumu kwa past imeishapita focus kwenye kuifanya future yako iwe ya kielelezo.
Bible inasema heri mwisho mwema kuliko mwanzo.
Asante sana mkuu.
 
Unahalalisha dhambi kwa dhambi .😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Reference ni vitabu vyote vya dini mkuu 🤓🤓🤓🤓
Puchu sio poa ni balaaaa oooh
Nipe mstari unaosema husipige Puchu.

Umalaya na Ufusika ndio dhambi....

Mkono wangu sio dhambi, tena ukipiga Puchu paka na Mkongo hili mambo yawe sawa
 
Nipe mstari unaosema husipige Puchu.

Umalaya na Ufusika ndio dhambi....

Mkono wangu sio dhambi, tena ukipiga Puchu paka na Mkongo hili mambo yawe sawa
Kwa haraka haraka Mhaya unaamua tuu kumpoteza dogo 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Kila kitu unaelewa wewe
 
Back
Top Bottom