Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mi sio nabii ila huyo demu wako alishalengeshwa kwa mwamba mwengine ambaye kakuzidi kidogo maisha au ana cheo. Na si muda mrefu sana but likely ni kipindi hiki hiki ambacho we umeanza habari za kutaka kupeleka mshenga uoe.🤣Hatujawahi, hali ilikuwa ni shwari kabisa, upepo ukabadilika ghafla.
Trust your instincts, huyo shosti yake ndio atakuwa remote controller. Next time ukianza mahusiano serious na mtu mwenye akili za kukopa kwa shoga yake hakikisha huo ushoga wao haupo kabisa. Au kwa namna ingine achana nae kama hakuelewi.