Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
adinywe cha goodbye aje kutuhadithiaKama Kuna vitu vyako uliwahi mnunulia ..nenda getoni mwake ukavichukue !!.
Alafu temana naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adinywe cha goodbye aje kutuhadithiaKama Kuna vitu vyako uliwahi mnunulia ..nenda getoni mwake ukavichukue !!.
Alafu temana naye.
umegundua tatizo nini kwa nini unaachwa achwa sana?2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Kwan haina muda sana eeh!!?😂Mbona mapema😂😂
Daktari asimposaidia aje anione mimi. Nina dawa yakeMaumivu yakizidi muone daktari
ATakua hana mambo ndio shida..show za ng'ombe mbuzi hawez kaaumegundua tatizo nini kwa nini unaachwa achwa sana?
Chezea January.. Makamba anakaba kona zote 😂😂Hee hata January haijaishaaa
Ndo kwanza tarehe16 leo😃😃Kwan haina muda sana eeh!!?😂
kwan walianza ku date mwaka mpya? 😂😂.Ndo kwanza tarehe16 leo😃😃
Hahaha! Tumeukimbia Mtego wake.Msije sema siku sema, Kuna mtu ana windwa hapa🤒
Ndiyo ulivoumbwa2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Panda juu ya paa ulie kwa kupiga mayowe kisha tafuta mganga wa jadi akupe dawa ya penzi.Usiseme sikukushauri baadaye.2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali