Nimeachwa tena

Nimeachwa tena

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Inaumiza sana. Kwa nini wanawake hawadumu na mimi? Wana matatizo gani lakini? Wanawake wa siku hizi hawafai yaani ukisema tu uutue moyo.... Yeye ameshaliamsha anasonga mbele.

Mimi wa kuachwa kweli? Why? Mimi nampigia demu ananiambia niachane naye na namba yake nifute? Kuna shida kubwa kwa hawa mabinti. Na mimi nawaaambia watanikumbuka.

Mwanaidi, Mwantumu, Asha, Suzan, Irene, Hadija, Kibua, Samia, Chuki na Tatu. Mtanikumbuka nawaambia. Mtanikumbuka sana. Hamtapa mwanaume mwenye mapenzi kama mimi. Wallah nawaambia nyie. Tena mtakuwa machangudoa tu. Hakuna mwanamke decent anamwacha mwanaume.

Tena wewe Tatu hata week tatu hazikufika. Umekula tupesa twangu leo unaniambia niku delete? Nimeumia sana lini nami nitaacha mwanamke? Wanakosea wapi hawa?
 
Pole mkuu! lakini una maoni gani kuhusu swala la mkataba wa bandari na hitaji la katiba mpya?
 
Pole mkuu! lakini una maoni gani kuhusu swala la mkataba wa bandari na hitaji la katiba mpya?
Nashukuru sana .
Heeeh.... Kuna mkataba gani wa bandari?huu mkataba wafanyakazi wote tupewe.siyo kufanya kazi kama vibarua.

Katiba hata mimi nashauri tununue mpya mwaka huu zimetoka mpya nzuri tunahitaji hizo. Mimi natamani hata kesho tu kila mtu apate katiba yake mpya kabisa.
 
Nashukuru sana .
Heeeh.... Kuna mkataba gani wa bandari?huu mkataba wafanyakazi wote tupewe.siyo kufanya kazi kama vibarua.

Katiba hata mimi nashauri tununue mpya mwaka huu zimetoka mpya nzuri tunahitaji hizo. Mimi natamani hata kesho tu kila mtu apate katiba yake mpya
Hahaha! Hapo kwenye katiba umenichekesha sana mkuu.
 
Beta male in action.

Alpha male huwa hawalalamiki maana wanawake wako wengi duniani.
 
Mbona wapo wengi, umeshindwa kabisa kutumia falsafa hii ? 🐒

images (68).jpeg
 
Inaumiza sana. Kwa nini wanawake hawadumu na mimi? Wana matatizo gani lakini? Wanawake wa siku hizi hawafai yaani ukisema tu uutue moyo.... Yeye ameshaliamsha anasonga mbele.

Mimi wa kuachwa kweli? Why? Mimi nampigia demu ananiambia niachane naye na namba yake nifute? Kuna shida kubwa kwa hawa mabinti. Na mimi nawaaambia watanikumbuka.

Mwanaidi, Mwantumu, Asha, Suzan, Irene, Hadija, Kibua, Samia, Chuki na Tatu. Mtanikumbuka nawaambia. Mtanikumbuka sana. Hamtapa mwanaume mwenye mapenzi kama mimi. Wallah nawaambia nyie. Tena mtakuwa machangudoa tu. Hakuna mwanamke decent anamwacha mwanaume.

Tena wewe Tatu hata week tatu hazikufika mbwa wewe. Umekula tupesa twangu leo unaniambia niku delete? Nimeumia sana lini nami nitaacha mwanamke? Wanakosea wapi hawa?
Mnazini na unaacha laaana impate nani

Kuwa mwanaume kwanza utakaa na mwanamke

Huku kulia lia sana sio kwa kiume
 
Diva nae analia kaachika huko insta na mganga.
Ila siamini km alikua na chizi maarifa.
Labda "nchinzi monyorifo"
In diva the bawse voice😁
 
Back
Top Bottom