Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Inaumiza sana. Kwa nini wanawake hawadumu na mimi? Wana matatizo gani lakini? Wanawake wa siku hizi hawafai yaani ukisema tu uutue moyo.... Yeye ameshaliamsha anasonga mbele.
Mimi wa kuachwa kweli? Why? Mimi nampigia demu ananiambia niachane naye na namba yake nifute? Kuna shida kubwa kwa hawa mabinti. Na mimi nawaaambia watanikumbuka.
Mwanaidi, Mwantumu, Asha, Suzan, Irene, Hadija, Kibua, Samia, Chuki na Tatu. Mtanikumbuka nawaambia. Mtanikumbuka sana. Hamtapa mwanaume mwenye mapenzi kama mimi. Wallah nawaambia nyie. Tena mtakuwa machangudoa tu. Hakuna mwanamke decent anamwacha mwanaume.
Tena wewe Tatu hata week tatu hazikufika. Umekula tupesa twangu leo unaniambia niku delete? Nimeumia sana lini nami nitaacha mwanamke? Wanakosea wapi hawa?