Nimeachwa tena

Nimeachwa tena

Hivi mtu kua na gubu ndio kua mgomvi kila mda na hoja za malumbano kwake haziishi au nitofauti..naombeni msaada .
 
Inaumiza sana. Kwa nini wanawake hawadumu na mimi? Wana matatizo gani lakini? Wanawake wa siku hizi hawafai yaani ukisema tu uutue moyo.... Yeye ameshaliamsha anasonga mbele.

Mimi wa kuachwa kweli? Why? Mimi nampigia demu ananiambia niachane naye na namba yake nifute? Kuna shida kubwa kwa hawa mabinti. Na mimi nawaaambia watanikumbuka.

Mwanaidi, Mwantumu, Asha, Suzan, Irene, Hadija, Kibua, Samia, Chuki na Tatu. Mtanikumbuka nawaambia. Mtanikumbuka sana. Hamtapa mwanaume mwenye mapenzi kama mimi. Wallah nawaambia nyie. Tena mtakuwa machangudoa tu. Hakuna mwanamke decent anamwacha mwanaume.

Tena wewe Tatu hata week tatu hazikufika. Umekula tupesa twangu leo unaniambia niku delete? Nimeumia sana lini nami nitaacha mwanamke? Wanakosea wapi hawa?
Tafuta hela mkuu, hawa viumbe usipompa hela wana matatizo sana.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mnazini na unaacha laaana impate nani

Kuwa mwanaume kwanza utakaa na mwanamke

Huku kulia lia sana sio kwa kiume
Nawe inabidi ujitathimini man usikute kama una kibamia basi hapo ujue kwa wadada wa Bongo umeshawakosa.
 
Itakuwa unatatizo mahali sio bure jiangalie kwanza kabla hujawalaumu wapenzi wako alafu kingne acha penda penda hizo laana sijui ndo unawalaani ni maneno tu ya mfamaji hayafki popote watawapata hata zaid yako sema tu hawawez kumpata mtu kama wewe coz wewe ni wewe na wengne ni wengne that's all.
 
Bro, don't think they'll regret loosing you.You're own your own.Just let them go and move.
 
Tatizo sio mabinti wa siku, tatizo ni wewe mwenyewe...
 
Hilo jina la Tatu kuna kisa nimekikumbuka nimecheka sana.

Kuna siku tumekaa sehemu mida ya jioni jioni, mimi na wana wawili(tino na Mrema) tunapata kinywaji na story. Sasa baada ya muda akaja jamaa mmoja, mshikaji wake Tino, wakuitwa Alex.

Tino akalianzisha;
"jamaa nimekusubiri sana toka mchana simu hupokei".
"bro kuna dem nilikuwa napiga, ndio nimetoka sasa hivi. Tena nataka nimtaarifu kuwa aondoke tu mimi sirudi sasa hivi, niazime simu yako.. simu yangu imeishiwa salio"..Alex akajibu.
Tungu akamjibu, "mimi nimeiweka charge labda ya jamaa hapo".

Mrema akampa simu jamaa, kajaza namba ghafla alex akaguna na kuuliza,

"bro unafahamiana na tatu?"
"yeah, ni mwanamke wangu vipi kwani?". Mrema akajibu

Aise, kikao kilikuwa kichungu kile. Hili tukio huwa nacheka sana kilikumbuka.
 
Back
Top Bottom