Nimeachwa

<br />
<br />
we mtata.
 
hakukupenda huyo... wakati mwingine ukiachwa shukuru.... huwezi jua umeepushwa na nin?

sema hawakupendana ndio maana hawakuona umuhimu wa kukaa pamoja na kuongelea toafauti zao za kidini na mustakabali wa penzi lao. Mbona ni wengi tu wameoana katika madhehebu tofauti? sema wanaume wengi ni conservative na wamekumbatia mifumo dume. Sasa kwa jeuri hiyo mbona mtaganga sana these days?
 
Nadhani kwa imani yako unamuamini Yesu na yeye anamwamini Yesu, si mbaya ukamshitaki kwa Yesu!!
 
Hakukupenda huyo wewe. Omba Mungu akupe mke na si mpenzi wala mchumba.
 
kisa mi ni MKATOLIKI yeye ni mpendekoste(Mlokole) naomba ushauri kwani psychologically nipo abnormal

Kweli manake naona creativity yoote imepotea....nyie mlikuwa hampendani toka mwanzoau niseme alikuwa hakupendi toka mwanzo
 
Kaachwa winnie Mandela na juzijuzi mark antony itakuwa wewe, embu simama kiume,ukiona hivo haijapangwa, kwani dini hazitenganishi wapendanao, hata kama angekuona mtenda dhambi, dini inasema changamaneni nao ili muweze kuwajulisha habali za ufalme wa Mungu, sijui mwenzetu
 
Mfuate huko huko kama kweli unamhitaji na maisha bila yeye hayawezekani.
 
Songa mbele mkubwa, Atakuzingua zaidi ukimrudia!
 
hakukupenda huyo... wakati mwingine ukiachwa shukuru.... huwezi jua umeepushwa na nin?

kweli mkuu ur ryt. Maana watu wanabadili kabisa dini uislam to ukristo au ukristo to uislam coz ov love, sasa hawa dini moja eti tofauti ya madhehebu pia ni tatizo duuh!
 
Fuata nyuki ule asali,yesu wa rc ni yule yule wa kilokole.....alikufa na kufufuka siku ya tatu.
 
mfuate huko huko kama kweli unamhitaji na maisha bila yeye hayawezekani.
tatizo ni pale atakapomfuata................halafu baada ya muda bibie akasilimu na kuwa muislamu.
 
mmmh mambo ya mahusiano bhana yaacheni kama yalivyo; waweza achwa eti kisa una ndevu nyingi au kisa una maziwa makubwa, sasa huu si ushetani huu jamani, Mpwa jpie moyo endelea mbele afadhali kakukataa mapema (kwa maana kuwa hamjafunga ndoa) maana wengine wangeweza subiri mmeshaingia mkataba ndio kila siku anakuletea "Anko" zake mara huyu mdogo wake mama wa hiari mara vile, nakushauri kuwa, Piga Goti hata kama hujawahi kufanya hivyo, mshukuru Mungu then go on....utamsahau tu na kwa uzoefu wangu wa kuachwa ulivyo ( kuacha sina ila wa kuachwa) ni kwamba few days to come (utaniambia) atarudi akikuambia kuwa mrudiane au msamehe alipitiwa na shetani tu au nilikuanakutania tu Mpenzi........pole Mpwa.
 
Tatizo sio dini kama kweli mlikuwa mnapendana hicho si kigezo, no true love
 
Tafuta wa kwako inaonyesha huo sio ubavu wako Muombe Mungu akupatie mkea maana mke mwema anatoka kwa Bwana, poleeehe
 
Mimi pia ilishantokea ijapokuw c kivile lkn ukwel ni kuw haw ndugu zetu walokole huw wanajiona kuw wao ni tofauti na binadam wengine hvyo hawaez kuw na wakrist wa madhehebu mengine so we fanya kama hujaona na ujipange kwa ukurasa mwngne wa maisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…