Nimeagiza mzigo AliExpress umefika bongo tangu July 1 ila kwenye tracking wananiambia delivery failed

NENDA JUKWAA HABARI MCHANGANYIKO WEKA MADA YAKO UTAPATA UFUMBUZ
 
sasa mzigo umefika tarehe moja wewe hujaenda kuchukua hadi leo
 
Swali dogo tu,kama mzigo umefika tarehe moja mpaka leo kwanini hujauchukua?
 
inawezekana haukuja kwa njia ya posta, Nani ni courier? check with the courier inavyoonekana hana namba yako ya simu
 
Mwl.RCT mkuu hivi huwa unatumia app gani kutrack item yako?
Then Kama una namba ya mtu reliable aliepo Hapo posta nisaidie kwa sababu Niko remote area Sana mkuu.
 
Sometimes ni wezi wanaleta drama mpk ukate tamaa
Hapana, mzigo unapo ingia Tz, tuna tumia tracking system ya Tz kufatilia mzigo, ukiona una chelewa, basi una piga simu posta DSM wao wata kueleza mzigo ulipo na ikiwezekana wata kujuza zaidi ili upokee mzigo wako...

Mdau Kama hii ni track no. Ya mzigo basi fatilia kujua mzigo ulipo kwa kutumia system za posta RB115389681SG

Kabla hauja agiza mzigo jifunze vitu vingi kuhusiana na jambo husika...
 
Nenda postal kaulize watakupa majibi, muda mwingine wanasema failed halaf umefika
Wataalamu hivi mzigo ukifikia hatua hii ndio zinakuwa zimebaki siku kama ngapi nikachukue Mali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…