Nimeagiza mzigo wangu wa kwanza China kodi niliyokadiliwa na TRA ni kubwa mno je nawezaje kuomba kupunguziwa wakuu nishaurini nimechanganyikiwa

Nimeagiza mzigo wangu wa kwanza China kodi niliyokadiliwa na TRA ni kubwa mno je nawezaje kuomba kupunguziwa wakuu nishaurini nimechanganyikiwa

Asante je kuna ofisi maalum hapo tra inayodeal na hizi bargain za kodi, walikupunguzia tsh. Ngapi.

Na mwisho mimi nimetumia agents wa clearance Ndio nimepeleka details za mzigo maana upo njiani kuja baada ya kuwapa wameweka kwenye system ya tra ndio nikaambiwa kodi ninayotakiwa kutoa.

Nakushauri nenda kwenye ofisi ya custom (Tra) katika sehemu unayotegemea kupokea mzigo na uwaambie kuhusu swala lako.

Hapo watakupa gharama zao kwamaana ya VAT

Pia jaribu kuuliza agent wako je handling fee zao ni kiasi gani. Hapa utaweza kuona kiasi gani unalipa kama kodi na pia kiasi gani unalipa kama handling fee.

Pia nikuulize je ni agent gani umetumia?

Pia je, ni mzigo gani umenunua China?
 
Poa. Ulipotelea wapi wewe? Naona umempa mwongozo huyo hadi nimependa. Leo nimekuongezea vyeo.
Mambo tuu yanaingiliana mkuu.
Hahahhahahaha nafurahi kusikia mwongozo umeeleweka na umeupenda.
Niongezee hivyo vyeo Habuba nashukuru.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Ukitumia ma agent walioko China kusafirisha mzigo wako na kodi unalipia mzigo ukiwa ushatolewa gharama za CBM wanazochaji sio kubwa ila ukileta mzigo mwenyewe kulipia inakua tofauti...ila ulitakiwa useme mzigo ni aina gani na upo kwa kiwango gani kujadili kitu unachokijua wewe tuu ni ngumu...
 
Yeah ni sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhusika amefanya mzigo kuwa siri
Ukitumia ma agent walioko China kusafirisha mzigo wako na kodi unalipia mzigo ukiwa ushatolewa gharama za CBM wanazochaji sio kubwa ila ukileta mzigo mwenyewe kulipia inakua tofauti...ila ulitakiwa useme mzigo ni aina gani na upo kwa kiwango gani kujadili kitu unachokijua wewe tuu ni ngumu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza unatakiwa uandike malalamiko yako na kuyatuma ndani ya siku 30(kwanzia siku uliyofanyiwa makadirio ya kodi).
Ila hakikisha ile kodi unayohisi ulitakiwa kulipa umeilipa (siyo ile waliyokukadiria)
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Siyo 'anayohisi' ni analipa '30% ya kodi aliyokadiriwa' ndugu!.. Kwingine kote upo sawa.
 
He he he ehe h jambo simple
"next time nenda tra kujifunza namna ya kujua utaratibu mzuri kuagiza mizigo na kulipia kodi kisha unapoondoka chukua namba ya mtu mmoja muhimu hapo
kisha nend abandarini kajifunze mambo kule kisha chukua namba ya mtu muhimu
mwezi kabla waalike nyumbani mle na kunywa kisha wasindikize na gari yako, after one weeke waambie nataka kuagiza mzigo fulani nje mnanisaiaje wakuu, aisee utashangaa mambo yalivyo mepesi"

Hivi ndivyo alijibiwa kaka yangu na mtu mmoja alipokwama kodi alipoagiza kagari kake nje kakutembela hapa nchini maana gari kutoka nje hadi kufikisha hapa ndani jumla ilikuwa ni 8Mil sasa kutoa gari bandarini ije mtaani he he he he h
mbona gari aliiuza juu kwa juu aiseee wakaigomboa wengine
pathetic kama mazuri lakini inuma aiseee

ha ha ha ha
when you have complication everything become tough, and when you relax everything at easy.

😀😀😀😀😀😀😀
 
Ndiyo kuna namna unayoweza fanikisha kupunguziwa kodi kama unahisi kodi unayochajiwa si sahihi.

Kwanza unatakiwa uandike malalamiko yako na kuyatuma ndani ya siku 30(kwanzia siku uliyofanyiwa makadirio ya kodi).
Ila hakikisha ile kodi unayohisi ulitakiwa kulipa umeilipa (siyo ile waliyokukadiria)

Wasipo kusikiliza utakata rufaa kupinga kodi unayochajiwa. Wasipokusikiliza utasonga mbele hadi mwisho wa siku Mtaenda hadi mahakamani.

Na court of appeal ndiyo maamuzi ya mwisho yatatolewa.
Ukitaka namna na mahali pakuanzia niambie.

Ila kama unahisi ni kodi sahihi wewe lipa tuu . Hata kama ni kubwa.

USHAURI.
Kabla haujaagiza kitu nje ya nchi, fanya research ujue kabisa utaki import kwa gharama gani. Tena hususani kwa bidhaa ambazo zina patikana Tanzania (zinazalishwa Tanzania pia). Maana ukiziingiza kwa bei ndogo viwanda vyetu vitakufa.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
sitaacha kukupenda wewe dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes unaweza kupatiwa punguzo la kodi ya mzigo wako.

Juzi nimenunua iPhone 7 toka Atlanta USA custom wakanibambikia kodi almost laki na ishirini.

Nilifanikiwa kufanya bargain wakanipunguzia kidogo

Hizi kodi si rafiki kabisa jitahidi kuongea nao vizuri

''Jitahidi kuongea nao vizuri' sipendi kabisa jambo hili maishani mwangu, nilienda TRA kulipia gari (cc 2000) lililokamatwa kwa kukwepa ushuru na nikapigiwa hesabu ambayo haikuniingia akilini then nikaomba nirudi kesho yake basi nikiwa nyumbani nikagundua kuwa nimefanyiwa hesabu ya gari langu lakini kwa kutumia gari kubwa la tani nne, kesho yake nilienda na kuomba nionane na Regional Manager...kilichofanywa haraka haraka wakabadilisha makadirio na kunipeleka kwa meneja ambapo meneja akaangalia na kukuta kuwa makadirio kwa harakaharaka ni sawa ingawa vijana hawakuzingatia uchakavu wa gari , my take kuwa mwangalifu sana unapokutana na vijana wa TRA kwani wengi wao wapo kama Ohio Street
 
Hapa je?View attachment 1046951

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
"Pay amount of tax which is not in dispute or one third of the assessed tax, whichever amount is greater".
Kwa lugha mama ni kwamba utalipia kiwango ambacho hakipo kwenye mgogoro au robo tatu ya kiwango ulichokadiriwa!. Na ndio maana nikakusahihisha ni 30% utailipia.
Hakuna sehemu imesema utalipia 'unachohisi' sababu kila mtu ana hisia zake, me naweza agiza mzigo wa 1Mil 'nikahisi' kodi yangu itakuwa elfu 50 wakati let say ni 150,000 ambapo nikibisha nitatakiwa niweke 30% ya hiyo 120,000 ambayo ni 45 elfu!..
Hakunaga 'hisi' kwenye haya malalamiko ya kodi ndugu.
 
Oohhhh sawa sawa mkuu.
Asante kwa masahihisho.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom