HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Asante mkuu ngoja nimtafute.
Uwiii. Sawa mdogo wangu.
Poa vipi?Mambo? Cute.
Asante je kuna ofisi maalum hapo tra inayodeal na hizi bargain za kodi, walikupunguzia tsh. Ngapi.
Na mwisho mimi nimetumia agents wa clearance Ndio nimepeleka details za mzigo maana upo njiani kuja baada ya kuwapa wameweka kwenye system ya tra ndio nikaambiwa kodi ninayotakiwa kutoa.
Poa. Ulipotelea wapi wewe? Naona umempa mwongozo huyo hadi nimependa. Leo nimekuongezea vyeo.Poa vipi?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mambo tuu yanaingiliana mkuu.Poa. Ulipotelea wapi wewe? Naona umempa mwongozo huyo hadi nimependa. Leo nimekuongezea vyeo.
Ndugu hii inakuwaje mzigo unaupokelea wapiUngeagiza mzigo wako kwa cargo planes zinazokwenda Nairobi ili kodi iwe rafiki kidogo na itakupunguzia muda wa mzigo wako kukaa mikononi mwa washenzi wa TPA.
Yeah ni sahihiUkitumia ma agent walioko China kusafirisha mzigo wako na kodi unalipia mzigo ukiwa ushatolewa gharama za CBM wanazochaji sio kubwa ila ukileta mzigo mwenyewe kulipia inakua tofauti...ila ulitakiwa useme mzigo ni aina gani na upo kwa kiwango gani kujadili kitu unachokijua wewe tuu ni ngumu...
Ukitumia ma agent walioko China kusafirisha mzigo wako na kodi unalipia mzigo ukiwa ushatolewa gharama za CBM wanazochaji sio kubwa ila ukileta mzigo mwenyewe kulipia inakua tofauti...ila ulitakiwa useme mzigo ni aina gani na upo kwa kiwango gani kujadili kitu unachokijua wewe tuu ni ngumu...
Siyo 'anayohisi' ni analipa '30% ya kodi aliyokadiriwa' ndugu!.. Kwingine kote upo sawa.Kwanza unatakiwa uandike malalamiko yako na kuyatuma ndani ya siku 30(kwanzia siku uliyofanyiwa makadirio ya kodi).
Ila hakikisha ile kodi unayohisi ulitakiwa kulipa umeilipa (siyo ile waliyokukadiria)
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
sitaacha kukupenda wewe dadaNdiyo kuna namna unayoweza fanikisha kupunguziwa kodi kama unahisi kodi unayochajiwa si sahihi.
Kwanza unatakiwa uandike malalamiko yako na kuyatuma ndani ya siku 30(kwanzia siku uliyofanyiwa makadirio ya kodi).
Ila hakikisha ile kodi unayohisi ulitakiwa kulipa umeilipa (siyo ile waliyokukadiria)
Wasipo kusikiliza utakata rufaa kupinga kodi unayochajiwa. Wasipokusikiliza utasonga mbele hadi mwisho wa siku Mtaenda hadi mahakamani.
Na court of appeal ndiyo maamuzi ya mwisho yatatolewa.
Ukitaka namna na mahali pakuanzia niambie.
Ila kama unahisi ni kodi sahihi wewe lipa tuu . Hata kama ni kubwa.
USHAURI.
Kabla haujaagiza kitu nje ya nchi, fanya research ujue kabisa utaki import kwa gharama gani. Tena hususani kwa bidhaa ambazo zina patikana Tanzania (zinazalishwa Tanzania pia). Maana ukiziingiza kwa bei ndogo viwanda vyetu vitakufa.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Yes unaweza kupatiwa punguzo la kodi ya mzigo wako.
Juzi nimenunua iPhone 7 toka Atlanta USA custom wakanibambikia kodi almost laki na ishirini.
Nilifanikiwa kufanya bargain wakanipunguzia kidogo
Hizi kodi si rafiki kabisa jitahidi kuongea nao vizuri
"Pay amount of tax which is not in dispute or one third of the assessed tax, whichever amount is greater".
Oohhhh sawa sawa mkuu."Pay amount of tax which is not in dispute or one third of the assessed tax, whichever amount is greater".
Kwa lugha mama ni kwamba utalipia kiwango ambacho hakipo kwenye mgogoro au robo tatu ya kiwango ulichokadiriwa!. Na ndio maana nikakusahihisha ni 30% utailipia.
Hakuna sehemu imesema utalipia 'unachohisi' sababu kila mtu ana hisia zake, me naweza agiza mzigo wa 1Mil 'nikahisi' kodi yangu itakuwa elfu 50 wakati let say ni 150,000 ambapo nikibisha nitatakiwa niweke 30% ya hiyo 120,000 ambayo ni 45 elfu!..
Hakunaga 'hisi' kwenye haya malalamiko ya kodi ndugu.
happy w'kend cuteπOohhhh sawa sawa mkuu.
Asante kwa masahihisho.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.