Unafanya taratibu za kawaida kupata mzigo wako huko ughaibuni, kisha unafanya booking nafasi ya ndege za mizigo zinazokuja Nairobi (si mara zote huja) unapakia kodi yake kidogo ni nafuu.Ndugu hii inakuwaje mzigo unaupokelea wapi
Na hizo cargo plane Ni zipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana kama upo DAR ili kupata mzigo hadi uende NAIROBIUnafanya taratibu za kawaida kupata mzigo wako huko ughaibuni, kisha unafanya booking nafasi ya ndege za mizigo zinazokuja Nairobi (si mara zote huja) unapakia kodi yake kidogo ni nafuu.
Kabisa
Na hilo ndio tatizo,hajui ule msemo wa 'mficha uchi hazai'
Kodi haina bargains; kuna set up percentage ya import duty kutokana na bei ya kitu ulichonunua, ndio maana invoice inakuwa attached; sasa hapa wengi huwa wanacheza na invoice kuweka bei ndogo ili ulipe kidogo, lakini TRA wana mwongozo wao wa bei za vitu ambazo mara nyingi zinakuwa juu kidogo ila kama una documentation, invoice na receipts za malipo inaweza kusaidia, ila kama bei ni ndogo sana TAX officer atabisha na tatizo mzigo ukikaa sana unaweza kuanza kulipia storage, pia kumbuka kuna charges nyingine tofauti tofauti..Asante je kuna ofisi maalum hapo tra inayodeal na hizi bargain za kodi, walikupunguzia tsh. Ngapi.
Na mwisho mimi nimetumia agents wa clearance Ndio nimepeleka details za mzigo maana upo njiani kuja baada ya kuwapa wameweka kwenye system ya tra ndio nikaambiwa kodi ninayotakiwa kutoa.
Kodi haina bargains; kuna set up percentage ya import duty kutokana na bei ya kitu ulichonunua, ndio maana invoice inakuwa attached; sasa hapa wengi huwa wanacheza na invoice kuweka bei ndogo ili ulipe kidogo, lakini TRA wana mwongozo wao wa bei za vitu ambazo mara nyingi zinakuwa juu kidogo ila kama una documentation, invoice na receipts za malipo inaweza kusaidia, ila kama bei ni ndogo sana TAX officer atabisha na tatizo mzigo ukikaa sana unaweza kuanza kulipia storage, pia kumbuka kuna charges nyingine tofauti tofauti..
Ukiagiza mzigo wowote kama sio Door to Door (yaani mfano kina DHL, UPS, TNT ambao wanatoa pia service za clearing) yaani ukitumia air cargo au meli lazima utumie clearing and forward agent ambaye ndio anaruhusiwa kukutolea mzigo na charges zao huwa ni kama laki na zaidi kwa kila consignment, tatizo mara nyingine hawa wanakuwa waongo wanazidisha pesa ili wadanganye wale ganji na tax officers, ila kama ni wakweli watumie hao hao muongee na TAX officer vizuri ili aweze kufanya mabadiliko, kumbuka kama kwenye mtandao wao TRA wanajua bidhaa fulani nje huwa ni dollar kumi, hata kama ulinunua kwa dollar moja kwa ku-bargain hawatakubaliana kamwe na hio invoice watajua umedanganya
makadirio unayopewa na agent yanakuwa fake yaani ile information sio ya kweli ili muongee aseme mcheze na invoice muweke info tofauti kwa gharama fulani kwa ujira fulani kwahio utakacholipia utaona kwamba ni kidogo kutokana na bargaining na msaada wa agent hence utatoa bakshishiMaelezo yako sahihi kabisa ila hapo pa kusema Agent anaweza kutaka kula ganji na Tax officer kwenye kodi, nadhani sio sahihi kwa miaka hii labda zamani maana kuna mfumo wa makadilio ya kodi ambapo unalipa kwa control namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni cha kuongezea hapa.Ndiyo kuna namna unayoweza fanikisha kupunguziwa kodi kama unahisi kodi unayochajiwa si sahihi.
Kwanza unatakiwa uandike malalamiko yako na kuyatuma ndani ya siku 30(kwanzia siku uliyofanyiwa makadirio ya kodi).
Ila hakikisha ile kodi unayohisi ulitakiwa kulipa umeilipa (siyo ile waliyokukadiria)
Wasipo kusikiliza utakata rufaa kupinga kodi unayochajiwa. Wasipokusikiliza utasonga mbele hadi mwisho wa siku Mtaenda hadi mahakamani.
Na court of appeal ndiyo maamuzi ya mwisho yatatolewa.
Ukitaka namna na mahali pakuanzia niambie.
Ila kama unahisi ni kodi sahihi wewe lipa tuu . Hata kama ni kubwa.
USHAURI.
Kabla haujaagiza kitu nje ya nchi, fanya research ujue kabisa utaki import kwa gharama gani. Tena hususani kwa bidhaa ambazo zina patikana Tanzania (zinazalishwa Tanzania pia). Maana ukiziingiza kwa bei ndogo viwanda vyetu vitakufa.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mkuu huyo agent wako ametumia HS CODE sahihi ?Asante je kuna ofisi maalum hapo tra inayodeal na hizi bargain za kodi, walikupunguzia tsh. Ngapi.
Na mwisho mimi nimetumia agents wa clearance Ndio nimepeleka details za mzigo maana upo njiani kuja baada ya kuwapa wameweka kwenye system ya tra ndio nikaambiwa kodi ninayotakiwa kutoa.
Wapo humu akitaja tu sina ya mzigo na kodi aliyokadiriwa watampata kiurahisi sana!Na hilo ndio tatizo,hajui ule msemo wa 'mficha uchi hazai'
Ni kweli,angeweza kutaja kwa ujumla tu kama vitu vya electronics,plastic n.k wenye mizigo bandarini ni wengiWapo humu akitaja tu sina ya mzigo na kodi aliyokadiriwa watampata kiurahisi sana!
Labda awe amepanga kudisclose I'd yake!
One third ni theluthi aka 1/3 na si robo tatu......1/3 pia ni 33.3%"Pay amount of tax which is not in dispute or one third of the assessed tax, whichever amount is greater".
Kwa lugha mama ni kwamba utalipia kiwango ambacho hakipo kwenye mgogoro au robo tatu ya kiwango ulichokadiriwa!. Na ndio maana nikakusahihisha ni 30% utailipia.
Hakuna sehemu imesema utalipia 'unachohisi' sababu kila mtu ana hisia zake, me naweza agiza mzigo wa 1Mil 'nikahisi' kodi yangu itakuwa elfu 50 wakati let say ni 150,000 ambapo nikibisha nitatakiwa niweke 30% ya hiyo 120,000 ambayo ni 45 elfu!..
Hakunaga 'hisi' kwenye haya malalamiko ya kodi ndugu.
Unauchukulia Rwanda kivipi?Siku hizi watu wanaweka adress za Rwanda mzigo unampita Bongo anauchukulia Rwanda...ila Sirikali yetu na sera zake ni kituko sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ushaawahi lipa hiyo 33.3%?One third ni theluthi aka 1/3 na si robo tatu......1/3 pia ni 33.3%
Sijawahi kulipa kodi. One third sio robo tatu ni theluthi whether it's 30 or 33% SIO ROBO TATU. Robo tatu ni 75%ushaawahi lipa hiyo 33.3%?