DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Aisee we thimba mnaichukuliaje
Tunahitaji kuona hilo Tumbo likisukumwa njianiHii ni ahadi na itatekelezwa
Haya tekeleza kufuzuHii ni ahadi na itatekelezwaView attachment 3297999
Safari imeanza wazee niko magomeni
Ujaachaga mawenge😂We nyau unapitia njia ipi kufika ubungo? Nipo magomeni hapa nasubiri tumbotumbo upite, km utapitia ya breweries useme tukutane sokota au buguruni 😹😹😹
Pita mpk kibO uku tumbo tumbo😂😂Niko mapipanaitafuta usalama
Nipo mwembe chai hapa nimevaa orange cap na wig langu nililonunua dollar 7000 dubai 😹😹😹Niko mapipanaitafuta usalama
Michelin apo😂Nipo mwembe chai hapa nimevaa orange cap na wig langu nililonunua dollar 7000 dubai 😹😹😹
Kirikou 😹😹Ujaachaga mawenge😂
Kama nakuona na wifi lko la vikongwe😂Kirikou 😹😹
Hapa naelekea kagera 😹😹Michelin apo😂
Bado hujapita usitutanie 😹😹Nimeshakuona angalia nyuma yako
We nae utuliege apo sheli ujaze wese😂Hapa naelekea kagera 😹😹