Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Omba Mungu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miliki hela, vyote utavipata, hata ukimtaka malkia elizabeti
Hela ninayo ya kutosha mahitaji ya kila cku, shule ninayo graduate, nafanya kazi, Si mlevi, usafi naujua kwa ujumla, ni mrefu c mfupi. Kanisani kwa sana. Pafomansi niko vizuri. Nina afya njema, si mropokaji,
Cha msingi ni kwamba 'don't lose your hustle for fcking broad', works fine with me/Ndugu wapendwa wa MMU, Nimeona niahirishe kuoa baada ya kukutana na wapenzi 2 humu jf tukakubaliana na suala zima la ndoa lakini mwisho wake wananitosa. Mmoja tulifikia hatua ya kwenda kutambulisha dakika za mwisho akaingia mitini. Wa pili tulifikia hatua ya kuonana tufahamiane baada ya kuafikiana kila kitu kwenye mawasiliano nae akazamia kusikojulikana. Haikuishia hapo, mwingine nikakutana nae kanisani tukaweka mambo sawa mwezi sasa umepita kakata mawasiliano. Anadai suala la kuolewa halipo tena kwenye akili yake. Kwangu mimi umri unasogea lakini nimeona tu bora niahirishe kuoa niendelee na maisha ya peke yangu kama kawaida kuliko kuendelea kudanganywa na hawa wanawake. Kama kuna ushauri nipeni waungwana.
Hela ninayo ya kutosha mahitaji ya kila cku, shule ninayo graduate, nafanya kazi, Si mlevi, usafi naujua kwa ujumla, ni mrefu c mfupi. Kanisani kwa sana. Pafomansi niko vizuri. Nina afya njema, si mropokaji,
Hela ninayo ya kutosha mahitaji ya kila cku, shule ninayo graduate, nafanya kazi, Si mlevi, usafi naujua kwa ujumla, ni mrefu c mfupi. Kanisani kwa sana. Pafomansi niko vizuri. Nina afya njema, si mropokaji,
Dah..! Sifa zote hizi ndugu umekimbiwa?? Mmmh..!!
Sugua goti mungu atakupa mke haswa aliye kuandalia.