SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki.
Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome.
Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo 🤣😂
ngara23 changaule Kalpana Tate Mkuu are y'all invited? 🤣😂
PS. Wana Simba hii pia ni harusi yetu. Nimepewa pia majukumu kadha wa kadha kufanikisha shughuli hii, nawaahidi waalikwa na wana ndoa watarajiwa sitawaangusha.