Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Aziz k anaenda kuoa malaya aliyeshindikana.
Malaya ndo wakiolewa wanatulia kwenye ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aziz k anaenda kuoa malaya aliyeshindikana.
Aastaghafyura habibi!!Yani unaandika Uzi wa maumivu na majonzi ya Azizi ki kumwona Mobeto?
Au Mobeto amechukua nafasi yako?
I bet you can't say that again without crying.Jamaa anaenda kuoa mke wa watu.
Wakuu huwa mnapata wapi guts za kumuongelea mtu ambaye hamjawahi hata kukaa nae japo dakika tano na mnapata ujasiri wa kutoa shutuma kama hizo?Umefikiri kama mimi..unaweza kukuta hapo ukumbini waalikwa wanaume nusu yao wamepita nae..Daah
Na hiki mnachokifanya Kiko sawa?Wakuu huwa mnapata wapi guts za kumuongelea mtu ambaye hamjawahi hata kukaa nae japo dakika tano na mnapata ujasiri wa kutoa shutuma kama hizo?
Mna uhakika dada zenu ni wasafi kuliko Mobetto?