Oya nipe kadi na mie nikamshangae huyo mobeto...sijawahi muona liveKama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki.
Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome.
Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo π€£π
ngara23 changaule Kalpana Tate Mkuu are y'all invited? π€£π
PS. Wana Simba hii pia ni harusi yetu. Nimepewa pia majukumu kadha wa kadha kufanikisha shughuli hii, nawaahidi waalikwa na wana ndoa watarajiwa sitawaangusha.
Acha waowane akipewa talaka ndio Mondi ataruhusiwa kumuoa tena. Si ndio dini yetu inavyosema?Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki.
Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome.
Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo π€£π
ngara23 changaule Kalpana Tate Mkuu are y'all invited? π€£π
PS. Wana Simba hii pia ni harusi yetu. Nimepewa pia majukumu kadha wa kadha kufanikisha shughuli hii, nawaahidi waalikwa na wana ndoa watarajiwa sitawaangusha.
Wanawake siku hizi unaalikwa ukaolewe nawe unakuja ku post huku. Anyway kama mmekubaliana na Mwolewaji kaolewe pia.Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki.
Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome.
Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo π€£π
ngara23 changaule Kalpana Tate Mkuu are y'all invited? π€£π
PS. Wana Simba hii pia ni harusi yetu. Nimepewa pia majukumu kadha wa kadha kufanikisha shughuli hii, nawaahidi waalikwa na wana ndoa watarajiwa sitawaangusha.
Unashupaza shingo jamiiforum kumbe hata yanga hawakujui na ndio hata haujaalikwa coz hakuna anayekujua.Siwezi kuhamia hilo litimu.
Una wazimu?Unashupaza shingo jamiiforum kumbe hata yanga hawakujui na ndio hata haujaalikwa coz hakuna anayekujua.
Kwahiyo yanga anakujua nani au ndo ivo unashindwa kubalance shobo?Una wazimu?
Kwani hiyo ni harusi ya YangaUnashupaza shingo jamiiforum kumbe hata yanga hawakujui na ndio hata haujaalikwa coz hakuna anayekujua.