Nimealikwa kwenye harusi ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki. Are you invited?

Sijaalikwa kaka...cha kufanya utupe live updates kule celebrities...shemeji tunae na tuna tamba nae....
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nipo na Aziz ki hapa tunacheka tu!
 
Uzuri tunamuoa shabiki mwenzenu wa Simba kwa lengo kuendelea kudumisha udugu wetu. Mimi sitahaudhuria kwa sababu nitakuwa Afghanstan kumtafuta ex wangu faixafoxy.
 
Ni matumaini yangu Azizi Ki mali zake ameziandikisha kwa majina ya mama ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…