Nimealikwa kwenye harusi ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki. Are you invited?

Umefikiri kama mimi..unaweza kukuta hapo ukumbini waalikwa wanaume nusu yao wamepita nae..Daah
Wakuu huwa mnapata wapi guts za kumuongelea mtu ambaye hamjawahi hata kukaa nae japo dakika tano na mnapata ujasiri wa kutoa shutuma kama hizo?

Mna uhakika dada zenu ni wasafi kuliko Mobetto?
 
Wakuu huwa mnapata wapi guts za kumuongelea mtu ambaye hamjawahi hata kukaa nae japo dakika tano na mnapata ujasiri wa kutoa shutuma kama hizo?

Mna uhakika dada zenu ni wasafi kuliko Mobetto?
Na hiki mnachokifanya Kiko sawa?
 
Attachments

  • IMG-20250216-WA0003.jpg
    84.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…