Nimeambiwa moyo wangu umetanuka

Nimeambiwa moyo wangu umetanuka

Wakati ukisubiri majibu ya Dr's sisi wa tiba mbadala tunakushauri kwenye hbr ya menu punguza vyakula vyenye mafuta mengi, punguza kiasi cha chumvi na sukari, punguza vilevi kama unatumia, anza mazoezi kama ulikuwa hufanyi, ikiwezekana nyama nyekundu pia upunguze, kula sana nyanya, matunda na mboga za majani, maji kwa wingi lakini pia kaa sehemu yenye hewa ya kutosha afya yako itaanza kuimarika.
Asante sana nitafuata ushauri wako mzuri
 
Unaambiwa Usipende mtu zaidi ya mmoja ..sasa wewe kila binti unamuweka moyoni,,ndo madhara yake ayo sasa
Hahahah mkuu ilikuja hali hii unexpectedly sikuwa na stress wala mawazo
 
Pole kaka yangu,
Kwa maelezo yako ulipata TIA (Transient Ischaemic Attack) au minor stroke. TIA inaweza kuwa noticed au unnoticed ila mwili unakuwa kwenye hatari ya kupata 2nd attack katika muda wa masaa 72.
Dada asante sana nimefarijika, umerudi?
 
Mama yangu mdogo alishawahi kupata hili tatizo nakumbuka Ni miaka ya 2006 2007.
Alitumia dawa za hospital pia alizingatia kanuni za lishe..
Kwa Sasa anaendelea vizuri..tatizo halijaisha kabisa Ila n kidogo Sana.

Huwa anatumia pia vitunguu saumu..
Anatafuna au kumeza kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom