Nimeambiwa moyo wangu umetanuka

Asante sana nitafuata ushauri wako mzuri
 
Unaambiwa Usipende mtu zaidi ya mmoja ..sasa wewe kila binti unamuweka moyoni,,ndo madhara yake ayo sasa
Hahahah mkuu ilikuja hali hii unexpectedly sikuwa na stress wala mawazo
 
Pole kaka yangu,
Kwa maelezo yako ulipata TIA (Transient Ischaemic Attack) au minor stroke. TIA inaweza kuwa noticed au unnoticed ila mwili unakuwa kwenye hatari ya kupata 2nd attack katika muda wa masaa 72.
Dada asante sana nimefarijika, umerudi?
 
Mama yangu mdogo alishawahi kupata hili tatizo nakumbuka Ni miaka ya 2006 2007.
Alitumia dawa za hospital pia alizingatia kanuni za lishe..
Kwa Sasa anaendelea vizuri..tatizo halijaisha kabisa Ila n kidogo Sana.

Huwa anatumia pia vitunguu saumu..
Anatafuna au kumeza kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…