Ndugu yangu, umeuliza tu ufanyaje lakini hujasema unachohitaji - unahitaji kupona tatizo au unahitaji kupata mtoto ndio unauliza ufanyaje?
Kama ni kweli madaktari wamethibitisha unatoa mbegu chache na zisizo na ute, na kwamba ni kwa sababu 'production site' is dead...nadhani kupona hilo tatizo itakuwa ngumu, au utafute msaada nje ya nchi.
Lakini kama unahitaji tu watoto...nadhani In-Vitro Fertilization (IVF) inaweza kukusaidia. IVF inahitaji tu uwe na uwezo wa kuzalisha mbegu zikakomaa, basi hizo zitavunwa na kurutubisha yai toka kwa mkeo, kisha linandwa kwenye kizazi na mimba inatunga na kukua kama kawaida, na mkeo anajifungua. Mnaweza zaa watoto kadhaa tu kwa njia hii, na wala haikuhitaji uende nje, kwani hii procedure inafanyika hapa Bongo.
Mkuu mtafute mdogo wako siku mke wako akiwa kwenye joto amwingilie mpate mtoto kuliko kutunza mtoto wa nje ambae si wa ukoo wenu
ningekuwa mimi,ningesema ``haya ni ajibu ya madaktari``,then ningemgeukia aliyeniumba ningemuumbia,``something need to be repaired``......fasta ningeuliza Jesus where are you?....do the same
nitaoa na mungu akipenda nitazalisha watoto wawili tu sitaki timu ya mpira!
tangu utotoni mwanangu nitachunguza ana mwelekeo gani? nikiona simwelewi hata sipotezi hela zangu wala energy yangu kwa ajili yake!!!
Pole sana mkuu maana hayo matatizo yameshazoeleka kwa Wanawake tu kuwa wagumba ila sio kwa Mwanaume kuwa Tasa,,,Pole sana Mkuu maana Fahari ya ndoa ni watoto.
Mbulula ni mbulula daktari katoa hitimisho ss tufanyeje ambao si wataalamu labda unialile nimpe mimba mkeo tena atazaa dume!
Ndugu yangu, umeuliza tu ufanyaje lakini hujasema unachohitaji - unahitaji kupona tatizo au unahitaji kupata mtoto ndio unauliza ufanyaje?
Kama ni kweli madaktari wamethibitisha unatoa mbegu chache na zisizo na ute, na kwamba ni kwa sababu 'production site' is dead...nadhani kupona hilo tatizo itakuwa ngumu, au utafute msaada nje ya nchi.
Lakini kama unahitaji tu watoto...nadhani In-Vitro Fertilization (IVF) inaweza kukusaidia. IVF inahitaji tu uwe na uwezo wa kuzalisha mbegu zikakomaa, basi hizo zitavunwa na kurutubisha yai toka kwa mkeo, kisha linandwa kwenye kizazi na mimba inatunga na kukua kama kawaida, na mkeo anajifungua. Mnaweza zaa watoto kadhaa tu kwa njia hii, na wala haikuhitaji uende nje, kwani hii procedure inafanyika hapa Bongo.
Kuna misaada mingine huwa haitolewi pasipo na kulipia na kuna misaada midogo midogo inatolea bila ya pesa.Huyu Mkuu.@dodomakwetu akihitaji nimsaidie anitumie barua ya pepe Email address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comMziziMkavu atakusaidia
...wakati wa kugegeda inabidi mda unapokaribia kufika kileleni umnyanyue MIGUUU juu - Kichwa chini...then kojoa....zitateleza zenyewe hadi kunakotakiwa (ukifanikiwa uje ukatujuze)
View attachment 117279
Mkaushie tuu, bado sana hajui anachokizungumzaMkuu naomba nikuulize kaswali. Ina maana ww hutaoa na kupata watoto kwa sababu hizi ulizozitaja hapa?
Mimi ni kijana niliyeoa, niko kwenye ndoa sasa kwa miaka tisa (9) sijapata mtoto; vipimo vinaonyesha mke wangu hana tatizo lolote kwenye uzazi-ila tatizo ninalo mimi; nimeambiwa mbegu zinazozalishwa kwangu ni chache, pili hazina uteute utaozifanya ziteleze na kuweza kulifikia yai. Madaktari wanasema hakuna dawa ya kurekebisha hiyo kwani "production site ya viscosity is deady" Ila chakushangaza nina uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa hata mara tano kwa siku na zinatoka vizuri; na zilipimwa ni nzima kabisa tatizo ndio hilo "Uchache na no viscosity" Naombeni ushauri nifanyeje????????
umesahau kumwambia kuwa hiyo ni probability na anaweza kufanya/kujaribu zaidi ya moja kisha akafanikiwa au asifanikiwe.
Mimi za kwangu zinakimbia kushinda Usain Bolt, yaani ni zaidi ya spidi ya light.,tafakari uchukue hatua, napatikana kwa PM.
pole sana mkuu kwa muda wa miaka 9 huna mtoto!
ila ningekuwa mimi wala nisingehangaika nimepunguziwa matatizo tu kizazi chenyewe hiki:
1.watoto wa kike wanajua mambo bado wadogo!
2.mtoto wa kiume unampa hela akasome yeye ananunua kondom
3.watoto wa kike umalaya na utoaji mimba ovyo hata kama unampa kila kitu!
4.watoto wa kiume ndo ushoga unawaandama!
ningekuwa mimi,ningesema ``haya ni ajibu ya madaktari``,then ningemgeukiaaliyeniumba ningemuumbia,``something need to be repaired``......fasta ningeuliza Jesus where are you?....do the same