Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!!!
Friji sina nina jagi moja tu la kuchemshia maji!Nimemwambia tuchangie hata sh.20000/-kila mmoja lakini bado amekataa!!kama huna fridge, lipia elfu 10 tu;
huyo anakuandaa kulipia umeme ww kutumia yeye sio wewe;
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni LUKU,mwenye nyumba kadai yeye sh.10000/-anapewa units 28,sasa huyu mpenzi wake ambaye ni mpangaji mwenzangu ndiyo anadai nitoe 30,000/- eti na yeye atoe kama hiyo ndiyo umeme utatosha mwezi,hapo ndiyo nimeshtuka!!Mita yake huenda ina deni huyo.Nilipanga nyumba umeme n 30000 alafu 15000 inakatwa deni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie wewe ndo upokee hela ununue kisha nunua kwanza wa hela nusuNi LUKU,mwenye nyumba kadai yeye sh.10000/-anapewa units 28,sasa huyu mpenzi wake ambaye ni mpangaji mwenzangu ndiyo anadai nitoe 30,000/- eti na yeye atoe kama hiyo ndiyo umeme utatosha mwezi,hapo ndiyo nimeshtuka!!
Jagi silitumii Mara kwa Mara huyo mpangaji mwenzangu ndiyo ana friji na jiko la umeme ajabu anadai kuwa havitumii!!Hilo jagi la umeme pia ni kwikwi mzee..japo umeme wa elfu 60 kwa watu wawili bado ni kisanga aisee
Nunua umeme wa elfu 10 angalia unadumu kwa muda gani , alafu kuanzia hapo mgawaneNimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!!!
Pole Sana mkuu. Hapo utapigwa Hadi uchakae. Fanya namna utafte separate meter ufunge.Friji sina nina jagi moja tu la kuchemshia maji!Nimemwambia tuchangie hata sh.20000/-kila mmoja lakini bado amekataa!!
Hilo tumeshindwa kuelewana!Tatizo hakuna anayeiingia kwenye chumba cha mwenzio sasa uhakika wa kufahamu kama hatumii jiko la umeme na hiyo friji ni ngumu!Kwangu nimemuingiza ndani na kumuonyesha jagi ninalotumia kuchemshia maji ajabu anadai TV yangu ndiyo inamaliza umeme!Kwangu ni kitu kipya!Mwambie wewe ndo upokee hela ununue kisha nunua kwanza wa hela nusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ushauri!Nadhani nitafute makazi menginePole Sana mkuu. Hapo utapigwa Hadi uchakae. Fanya namna utafte separate meter ufunge.
Mimi Nina jagi la umeme nalitumia kila siku asubuhi na sometimes jioni, Nina friji, flat screen (anayokutishia kuwa unakula umeme), rice cooker na pressure cooker za umeme Ila kwa mwezi haizidi 15,000. Alafu flat screens nyingi zimetengenezwa katika mfumo ambao inakuwa eco friendly na hivyo kuwa na very minimal Power consumption.
Jirani yako sio mtu mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni hivyo!Yaani watu 2 ndio mtumie umeme wa 60? Mna kiwanda au
Huyo atakuwa labda mchepuko wa mwenye nyumba anataka apate kitonga toka kwako
Banana nae mkuu..kumbe ushajua tatizoJagi silitumii Mara kwa Mara huyo mpangaji mwenzangu ndiyo ana friji na jiko la umeme ajabu anadai kuwa havitumii!!
Mkuu ukiona anazidi kukusumbua huyo mpenz wake mkate mkonzi tu [emoji23][emoji23][emoji23] hasilete za kuleta, hii enzi ya ngoma ngumu kwahyo upuuzi hatutak!!Friji sina nina jagi moja tu la kuchemshia maji!Nimemwambia tuchangie hata sh.20000/-kila mmoja lakini bado amekataa!!