The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,254
- 2,170
kama una jagi,ni elfu kumi tu kwa mwenzi,au kama vipi nunua ile meter ya kusoma UNITS unazotumia basi,hataweza kukuibia,nilipanga nyumba moja nilikua ninalipa elfu 10(hapo nina jagi tu),nikaja kununua meter separator (hii ya kusoma units) nikakuta nilikua natumia unit 10 tu kwa mwenzi wakati nanunua unit 28,zingine wanatumia watu huko;
baada ya kuweka hiyo meter hata kama ninenunua umeme wa elfu 10 ni mpaka unit zangu ziishe ndio naweka tena;
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya kuweka hiyo meter hata kama ninenunua umeme wa elfu 10 ni mpaka unit zangu ziishe ndio naweka tena;
Friji sina nina jagi moja tu la kuchemshia maji!Nimemwambia tuchangie hata sh.20000/-kila mmoja lakini bado amekataa!!
Sent using Jamii Forums mobile app