Jana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio kawaida mim nikamwambia maisha tuu mama akadai inabidi uoe inawezekana majukum hamekuzid mzee nae akachangia kua uoe mana kuishi pekeako mtiani angalau mtakua mnashauliana na mwenzako vitu mbalimbalj kama.mke. kiukweli kinacho nikondesha ni maisha nafkilia nabadilishaje taswila ya familia yangu napambana daily.kwqjili ya Hilo japo kuoa natamani sana ila Kuna mazingira nataka niyaweke sawa ya kimaisha ila kuishi na mke naweza