Yes,Jana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio kawaida mim nikamwambia maisha tuu mama akadai inabidi uoe inawezekana majukum hamekuzid mzee nae akachangia kua uoe mana kuishi pekeako mtiani angalau mtakua mnashauliana na mwenzako vitu mbalimbalj kama.mke. kiukweli kinacho nikondesha ni maisha nafkilia nabadilishaje taswila ya familia yangu napambana daily.kwqjili ya Hilo japo kuoa natamani sana ila Kuna mazingira nataka niyaweke sawa ya kimaisha ila kuishi na mke naweza
Fanya upesi oue kijana , Mimi ningekuwa na uwezo ni geoa hata 22 kipindi nipo chuo ila sikuwa na uwezo , sasa nipo 25 najitafuta kidogo tu nioe chapJana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio kawaida mim nikamwambia maisha tuu mama akadai inabidi uoe inawezekana majukum hamekuzid mzee nae akachangia kua uoe mana kuishi pekeako mtiani angalau mtakua mnashauliana na mwenzako vitu mbalimbalj kama.mke. kiukweli kinacho nikondesha ni maisha nafkilia nabadilishaje taswila ya familia yangu napambana daily.kwqjili ya Hilo japo kuoa natamani sana ila Kuna mazingira nataka niyaweke sawa ya kimaisha ila kuishi na mke naweza
Fuata ushauri wa wazazi wako ili na wewe uitwe baba wa familia. Maisha ya ndoa ni matamu sana ukilinganisha na yale ya ubachela. Usikute hata huko kukondeana kwako sababu yake ni hiyo. Ukioa utaanza kuhangaika kupunguza mwili kupitia mazoezi, nk.Jana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio kawaida mim nikamwambia maisha tuu mama akadai inabidi uoe inawezekana majukum hamekuzid mzee nae akachangia kua uoe mana kuishi pekeako mtiani angalau mtakua mnashauliana na mwenzako vitu mbalimbalj kama.mke. kiukweli kinacho nikondesha ni maisha nafkilia nabadilishaje taswila ya familia yangu napambana daily.kwqjili ya Hilo japo kuoa natamani sana ila Kuna mazingira nataka niyaweke sawa ya kimaisha ila kuishi na mke naweza