Manyunchwi
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 431
- 149
Hapo huna chako..Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,
Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.
J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.
Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
Kwanza ulikua na mkataba?sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo
Hapo huna kazi!!!sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo
Nyie ndie mnatakiwa jf....mnajua kujib kile mtu ametaka...wengine wanajib kejeli tu ili tuone na wao wamecommeent ama na wao tuone wapo Jf.Hakuna kitu kinaitwa kujifukuzisha kazi wasikudanganye awa wapuuzi.
Either unaacha kwa hiari au wanakupa barua ya kukuachisha. Bado unatakiwa upewe mshahara wa mwezi mmoja na huyo mwajiri na barua ni lazima akupe sio ombi.
Akigoma kukupa barua usipotezee nenda idara ya mediation kama upo dsm nenda wizara ya kazi opposite na cbe chuo kama ni mkoani nenda mahakama ya kazi.
Ukikwama kabisa niPM nikusaidie upate stahiki zako.
Uko sahihi mdau, kama mtu amekosea kwa mara ya kwanza huwa kuna barua tatu za kuonywa kabla ya kufikia hatua ya kumfukuza mtu labda kama mkataba umeisha.Hakuna kitu kinaitwa kujifukuzisha kazi wasikudanganye awa wapuuzi.
Either unaacha kwa hiari au wanakupa barua ya kukuachisha. Bado unatakiwa upewe mshahara wa mwezi mmoja na huyo mwajiri na barua ni lazima akupe sio ombi.
Akigoma kukupa barua usipotezee nenda idara ya mediation kama upo dsm nenda wizara ya kazi opposite na cbe chuo kama ni mkoani nenda mahakama ya kazi.
Ukikwama kabisa niPM nikusaidie upate stahiki zako.
Uko sahihi mdau, kama mtu amekosea kwa mara ya kwanza huwa kuna barua tatu za kuonywa kabla ya kufikia hatua ya kumfukuza mtu labda kama mkataba umeisha.
Kwa walichomfanyia mleta mada ni uonevu na unyanyasaji wa hali ya juu.
Ila kwa kumsaidia mleta mada atutajie hiyo ofisi ili tuweze kumshauri.
Kwani hapa ni jukwaa huru
Ni kweli haki zake inabidi apewe.Sahihi kabisa, ana haki zake za msingi anatakiwa apewe.
anataka nimpe mshahara wa mwezi 1 je nihaki niwape au wao niwape
Kama wanamwambia kazi imeisha, kwamba kajifukuzisha mwenyewe, kwa nini aandike barua ya kuacha kazi? Kwa nini wao wasimpe barua nakumwambia vile amevunja mkataba then automatically amejifukuzisha!!?Andika barua wewe ya kuacha kazi,then mengine yatafuata.Na barua watakupa.Wape na mshahara wa mwezi mmoja sababu wewe ndo umeacha kazi.
Kabla ya kudai hizo haki zako, unatakiwa ujuwe mkataba wako na muajiri unasemaje juu ya kipengele cha kuto kuhudhuria kazini bila ya kutoa taarifa, kinasemaje?Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,
Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.
J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.
Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
Hatua aliyochukua mwajiri ni sahihi.sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo