Nimeambiwa nimejifukuza kazi, nina haki ya kudai kisheria?

Ndiyo umeshajifukuzisha kazi, huwezi ukakosekana kazini kwa wiki nzima bila muajiri wako kuwa na taarifa.

sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo
 
KWA MAELEZO YA MTOA MAADA ! MWAJILI WAKE NI MTU MPOLE SANA VINGINEVYO ALITAKIWA AMSHITAKI MARA MOJA KWASA BABU ALITOROKA KAZINI
 
Kwanza kutofika kazini
kwa siku tano mfululizo bila taarifa yoyote kazin ..moja kwa moja umrjifukuzisha kazi
 
sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo

ulitoroka kazini!
 
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,

Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.

J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.

Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
Hivi kazi ya ualimu kule Tabora uliacha?? Kwa hiyo hivi sasa upo jobless, kazi ya ualimu umeacha, na hapo kwenye hiyo kampuni pia umeharibu, JKT nako sidhani kama utafanikiwa, na pia una stress ya kulala na dem mwenye UKIMWI!!

Vijana wa siku hizi bwana!
 
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,

Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.

J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.

Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
Ukiwa haupo kazini kwa siku tano mfulilizo bila ya ruhusa ya mwajiri wako unakua umejifukuzisha Kazi.
 
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,

Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.

J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.

Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
KUKOSEKANA SIKU 5, ENEO LAKO LA KAZI BILA TAARIFA .TAFSIRI YAKE NDIO HIYO. (katafute cheti cha hospitali ongea na dr ionekane ulilazwa kwa muda huo, hiyo inaweza kukusaidia.
 
Uzuri hr yumo humu humu anasoma huu uzi.. Ukiforge cheti tu unalo.... Sheria inasema siku tano bila ruhusa sasa dr mwambie atengeneze cheti cha kuonyesha ulikuwa mahututi ukashindwa hata kupiga cm. Vinginevyo atahoji ulikuwa mahututi kushindwa hata kupiga cm na leo u mzima....
 
kama hulutika kazini kwa siku tano mfululizo pasipo taarifa muhimu umevunja mkataba wako kampuni inayohaki ya kudai malipo ya mwezi mmoja au uifanyie kazi mwezi mmoja bure pasipo na kukulipa chochote ndipo wakupe barua yako ya usibitisho iliukachue mafao yako
 
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,

Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.

J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.

Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa

Nenda Mahakamani kale kiapo cha kuwa ulikuwa kwenye shughuli nyingine ya kitaifa then peleka kazini kwako kiapo chako kitakuwa kimeondoa ile sheria ya kuwa usipoenda kazini kwa muda wa siku tatu bila ya Taarifa yeyote utakuwa umejifukuzisha kazi mwenyewe wasikudanganye (kujifukuza au kufukuzwa kazini hiyo ipo) vinginevyo wewe unatakiwa umlipe mwajiri wako kwa kuvunja mkataba wako wa ajira
 
Hakuna kitu kinaitwa kujifukuzisha kazi wasikudanganye awa wapuuzi.

Either unaacha kwa hiari au wanakupa barua ya kukuachisha. Bado unatakiwa upewe mshahara wa mwezi mmoja na huyo mwajiri na barua ni lazima akupe sio ombi.

Akigoma kukupa barua usipotezee nenda idara ya mediation kama upo dsm nenda wizara ya kazi opposite na cbe chuo kama ni mkoani nenda mahakama ya kazi.

Ukikwama kabisa niPM nikusaidie upate stahiki zako.

Acha kumpoteza....!!! hiyo ni Summary dismissal, ambayo ni dismissal without notice. It does not require advance notice to the employee and wages are only paid to the time of dismissal. Some examples of cases where summary dismissal may be justified include cases where employees have partaken in
  • wilful or deliberate behaviour inconsistent with the employment contract;
  • conduct causing imminent and serious risk to a person’s health or safety or the employer’s reputation, viability or profitability;
  • theft;
  • fraud;
  • assault;
  • intoxication at work;
  • refusal to follow lawful and reasonable instructions.
Ni pamoja na kutokuonekana kazini kwa muda wa siku Tatu bila ya sababu musharabu eitha kabla au baada ya, Njia pekee kisheria ni kutafuta sababu kwa nini hukuwepo kazini? ikiwezekana na vigezo kuzingatiwa (vielelezo).
 
Asante! Hii naweza kuipata kwenye sheria ipi exactly?
 
Kasome staff rules and regulations za kampuni yenu ambazo lazima zinaendana na labour law. Au soma contract uliyosaini.
Watu wengine Mkuu ni taabu kweli kweli......eti baadala ya kugoogle kwanza yeye anakimbilia JF kuuliza, ni uvivu au ni nini? JF ni baada ya kushindwa sehemu zote...!!!
 
huyu mtu ameomba msaada kwa wajuzi wa mambo ya sharia ila inaelekea wengi wanaojibu hawana uweledi wa kisheria.Ni vema ukawaachia wenye ufahamu wa kisheria ili wamueleweshe
 
Hivi unadhani jeshini wanataka mtu kama wewe? mi nahisi hata huko utaenda kupigiwa sim ukurupuke ila andaa nguvu.
 
Back
Top Bottom