sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo
A.W.O.LKWA MAELEZO YA MTOA MAADA ! MWAJILI WAKE NI MTU MPOLE SANA VINGINEVYO ALITAKIWA AMSHITAKI MARA MOJA KWASA BABU ALITOROKA KAZINI
sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo
Tena ni waajabu mno, alishawahi kufanya ngono zembe (bila kondomu) na dem mwenye UKIMWI huyu kijana!!Wewe ni mtu wa ajabu sana... Sina uhakika hata huko jeshini kama utadumu
Hivi kazi ya ualimu kule Tabora uliacha?? Kwa hiyo hivi sasa upo jobless, kazi ya ualimu umeacha, na hapo kwenye hiyo kampuni pia umeharibu, JKT nako sidhani kama utafanikiwa, na pia una stress ya kulala na dem mwenye UKIMWI!!Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,
Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.
J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.
Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
Ukiwa haupo kazini kwa siku tano mfulilizo bila ya ruhusa ya mwajiri wako unakua umejifukuzisha Kazi.Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,
Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.
J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.
Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
KUKOSEKANA SIKU 5, ENEO LAKO LA KAZI BILA TAARIFA .TAFSIRI YAKE NDIO HIYO. (katafute cheti cha hospitali ongea na dr ionekane ulilazwa kwa muda huo, hiyo inaweza kukusaidia.Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,
Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.
J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.
Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,
Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.
J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.
Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
Hakuna kitu kinaitwa kujifukuzisha kazi wasikudanganye awa wapuuzi.
Either unaacha kwa hiari au wanakupa barua ya kukuachisha. Bado unatakiwa upewe mshahara wa mwezi mmoja na huyo mwajiri na barua ni lazima akupe sio ombi.
Akigoma kukupa barua usipotezee nenda idara ya mediation kama upo dsm nenda wizara ya kazi opposite na cbe chuo kama ni mkoani nenda mahakama ya kazi.
Ukikwama kabisa niPM nikusaidie upate stahiki zako.
Asante! Hii naweza kuipata kwenye sheria ipi exactly?Acha kumpoteza....!!! hiyo ni Summary dismissal, ambayo ni dismissal without notice. It does not require advance notice to the employee and wages are only paid to the time of dismissal. Some examples of cases where summary dismissal may be justified include cases where employees have partaken in
Ni pamoja na kutokuonekana kazini kwa muda wa siku Tatu bila ya sababu musharabu eitha kabla au baada ya, Njia pekee kisheria ni kutafuta sababu kwa nini hukuwepo kazini? ikiwezekana na vigezo kuzingatiwa (vielelezo).
- wilful or deliberate behaviour inconsistent with the employment contract;
- conduct causing imminent and serious risk to a person’s health or safety or the employer’s reputation, viability or profitability;
- theft;
- fraud;
- assault;
- intoxication at work;
- refusal to follow lawful and reasonable instructions.
kwaiyo kani fire au nimeji fire
Watu wengine Mkuu ni taabu kweli kweli......eti baadala ya kugoogle kwanza yeye anakimbilia JF kuuliza, ni uvivu au ni nini? JF ni baada ya kushindwa sehemu zote...!!!Kasome staff rules and regulations za kampuni yenu ambazo lazima zinaendana na labour law. Au soma contract uliyosaini.