barack nyangununi
Member
- Sep 8, 2016
- 20
- 10
Unatakaje labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo dkt.ana kiwango gan cha elim?Mimba mpya..suspected 1-2 months
Huwa wanashauri mi pia iliwahi kuharbka na nlishauriwaga hvyo hvyo nlifata mashart ila haikuwa rizikiKwamba inaweza toka au
We vikomets vyako bhana..! Wachaga hawanaga haraka na kuchikuchi mbona weye unapenda hivyo??We kula tu
Mlikua wote kwa daktari??Habarini?
Wadau baada ya mchumba-angu kunasa ujauzito Dr. Amenambia tustop sex kwa miez minne.
Hivi hii ni kawaida au ni chuki binafsi za Daktari?
Habarini?
Wadau baada ya mchumba-angu kunasa ujauzito Dr. Amenambia tustop sex kwa miez minne.
Hivi hii ni kawaida au ni chuki binafsi za Daktari?
Hujaniudhi ukiambiwa na daktari uyashike kama hujaelewa rudi umuulize je nisipofanya faida nini na nisipofanya itasaidia niniDoh..samahani dada kama nmekuuzi...nmeuliza tu...