Nimeambiwa nisifanye mapenzi

Nimeambiwa nisifanye mapenzi

Hyo n kawaida maana hyo mimba ina tatizo may b ina dalili za kutishia kutoka huwa wanashauri hvyo
 
Dokta anakutaka,,no no no i mean huenda dokta ala mkeo,

ila hiyo ni kawaida mwache mtoto akue vizuri bila bugudha ya shahawa zako
 
Huwa wanashauri mi pia iliwahi kuharbka na nlishauriwaga hvyo hvyo nlifata mashart ila haikuwa riziki
Doh..pole mkuu..siku hx watoto ni dhahabu...mimba ikiharibika ni hasara kubwa sana
 
Dr. Kamuhurumia huyo bint huenda unambinuaga sana.....
Au pengine kacheza dili na Dr. Ili kumpumzisha na game za kila siku
 
Dogo hiyo ni kawaida kabiasa.. wewe jaribu kufuata masharti ya dr. Pengine mkeo ana matatizo..
 
Doh..samahani dada kama nmekuuzi...nmeuliza tu...
Hujaniudhi ukiambiwa na daktari uyashike kama hujaelewa rudi umuulize je nisipofanya faida nini na nisipofanya itasaidia nini
 
Back
Top Bottom