Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Atakuwa ndo mwenyewe, maana humu jf tunatumia ID feki
 
Jamani sasa tufanyeje kupata real scene?

Tuwaombe mods Info's zake?

Ushimen
Mitayari nimezipata info zake, jamaa zake pia nimewasiliana nao na hata picha zake nimezipata mkuu....
Na inasemekena jamaa alikata pumzi huku akiwa mwenye tabasamu, na waliokua karibu nae wanasema nikama alikua mwenye amani na tayari alimrudia Mungu wake
 
Daaah so sad asee mungu amuweke panapostahiki. Nataman wale viongozi wa nchi na makada wao wanaotutesa wajue kuna siku nao wataonja umauti. Angalau watufanye tuweze kuishi kwa furaha huu mda kidogo tulionao hapa Duniani. Ameeen
 
kitu unacho weza kuokolewa kwacho ni YESU pekee, hata ukifa utaishi, okoka, tubu dhambi, kama Mungu amepanga wewe uondoke siku izo, ujue kusudi lake ni wewe kulekebisha njia yako, na kuinyoosha, okoka, jazwa na roho mtakatifu, wasamehe walio kukosa, batizwa kwa maji mengi, kifo hicho kitakuwa chenye muelekeo mzuri!
 

tuletee picha zake hapa
 
Death is the destination we all share, we cant escape it (for now)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…